Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya JF yanaezafanya umwonee Gere mtu uliepaswa kumwonea Huruma.😂😂😂😂😂😂🌚
Yammy wa JF🤣Hahahaha bado haijasemaaaa
Mfanyakazi wa kiume Hana mambo mengi hasa akiwa na rika la 20 - 29. Misingi haumbani Sana katika mambo yake.Kheeee 😅 we kuweza
Hahahahakama analia huyo hana shida kabisaa mana anatoa nyongo ,
lakini kama halii anakutazama tu na mishipa ya komwe kumtoka we bibie uanze tu kuvaa kama yale manguo ya Jumong yasiyopenya visu mana kuchinjwa kwako ku karibu sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂💉💉💉💉🙅♂️Maisha ya JF yanaezafanya umwonee Gere mtu uliepaswa kumwonea Huruma.
We doctor umepigwa injection 💉 eti 😂Kheeee 😅 we kuweza
Ooh okay,. Basi sawa mchana mwemaNimetukana wapi nikuombe radhi .. wanaume hatutukani🥲
For real😂Maisha ya JF yanaezafanya umwonee Gere mtu uliepaswa kumwonea Huruma.
Unaenda wapi rudi hapa😂Ooh okay,. Basi sawa mchana mwema
Wacha nile kwanza 🌚😂Unaenda wapi rudi hapa😂
Kula kupo tuWacha nile kwanza 🌚😂
Kula kupo tuWacha nile kwanza 🌚😂