Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

kama analia huyo hana shida kabisaa mana anatoa nyongo ,
lakini kama halii anakutazama tu na mishipa ya komwe kumtoka we bibie uanze tu kuvaa kama yale manguo ya Jumong yasiyopenya visu mana kuchinjwa kwako ku karibu sana
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom