Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kuna Dada mmoja alinambia yeye katoka kijijini anakuja kufanya kazi za ndani maisha yamemchapa sana huko Rural. Sasa anashangaa na Kwa Bosi wake tena kuna njaa maisha ya kuunga unga hakumaliza mwezi.

Watu wengine wanafanya kama fashioni kuwa na Dada wa kazi wakati uwezo ni mdogo.
Kuwa na dada wa kazi sio utajiri.
 
Ndugu yangu mvumilie aisee kuna commenyza wadau hapo zimefanya niwe cool.

Mvumilie sana sana atakaa sawa na kama ni kijana wa lika la barehe nipe namba yake nimliwaze si unajua watt wa kike hao.

Mkuu nipo tayali kufanya juu chini awe sawa upande wa ku advice na kumtoa mtu upweke nipo vzr mkuu
 
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Tafuta Mwanaume hapo Kwako uishi nae na akiwa anambandua bandua mara kwa mara atatulia na kuwa na Adabu.
 
Ndugu yangu mvumilie aisee kuna commenyza wadau hapo zimefanya niwe cool.

Mvumilie sana sana atakaa sawa na kama ni kijana wa lika la barehe nipe namba yake nimliwaze si unajua watt wa kike hao.

Mkuu nipo tayali kufanya juu chini awe sawa upande wa ku advice na kumtoa mtu upweke nipo vzr mkuu
We mwizi tu
 
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Mrudishe kwao asikusumbue, kwasababu anatengeneza mazingira ya wewe umuogope. House girl hata umfanyie mazuri ya aina gani, yeye lazima alipe ubaya. Hao sio wakuwapenda
 
Na alienitafutia huyu dada hizo Sifa alizo mwagia kuwa ana adabu sioni chochotee I
 
Kama unapenda familia yako Fanya mapema uanze Kutafuta binti mwingine hraka ndani ya wiki moja uyoo mrudishe uyooo mtto kwao siku si nyingi ataenda kukuripoti polisi
 
Back
Top Bottom