Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ahahahahha weee takutukana sheeenziii kabisa..Hahahaha unaijua nyimbo ya zuchu "Siji"
Kijana hovyo wewe ahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahha weee takutukana sheeenziii kabisa..Hahahaha unaijua nyimbo ya zuchu "Siji"
Unakuta ni mdogo na kaacha wadogo zake kwenye shida zaidi. Hata akila wali nyama anakumbuka wadogo zake wanaolala njaa kila maraMvumilie huenda labda hajazoea mazingira hivyo kumbukumbu zakwao bado ziko kichwani chamsingi ishinaye vizuri asijefanya kisasi
Kuwa na dada wa kazi sio utajiri.Kuna Dada mmoja alinambia yeye katoka kijijini anakuja kufanya kazi za ndani maisha yamemchapa sana huko Rural. Sasa anashangaa na Kwa Bosi wake tena kuna njaa maisha ya kuunga unga hakumaliza mwezi.
Watu wengine wanafanya kama fashioni kuwa na Dada wa kazi wakati uwezo ni mdogo.
Daaah mkuu hii kauli imefanya nitokwe na machozi aiseeeeeUnakuta ni mdogo na kaacha wadogo zake kwenye shida zaidi. Hata akila wali nyama anakumbuka wadogo zake wanaolala njaa kila mara
Nimeshaongea nae! na nilikula Yamini kuwa nimvumilie ila ntavunja Yamini yangu..ngoja mwezi uishe nimrudishe.Mvumilie huenda labda hajazoea mazingira hivyo kumbukumbu zakwao bado ziko kichwani chamsingi ishinaye vizuri asijefanya kisasi
Mkuu haya maisha Mshukuru Mungu tuDaaah mkuu hii kauli imefanya nitokwe na machozi aiseeeee
Daaah daaah daaah daaah yaaani maisha haya
Tafuta Mwanaume hapo Kwako uishi nae na akiwa anambandua bandua mara kwa mara atatulia na kuwa na Adabu.Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
We mwizi tuNdugu yangu mvumilie aisee kuna commenyza wadau hapo zimefanya niwe cool.
Mvumilie sana sana atakaa sawa na kama ni kijana wa lika la barehe nipe namba yake nimliwaze si unajua watt wa kike hao.
Mkuu nipo tayali kufanya juu chini awe sawa upande wa ku advice na kumtoa mtu upweke nipo vzr mkuu
Basi poa fanya hivyo mkuuNimeshaongea nae! na nilikula Yamini kuwa nimvumilie ila ntavunja Yamini yangu..ngoja mwezi uishe nimrudishe.
Mkuu basi inatosha kuna mambo umeongea mpaka nimewaza sijui ulifikilia nini aiseeeee.Mkuu haya maisha Mshukuru Mungu tu
Dada Nyamwi255 amvumilie tu. Kuna watu wana historia ya kusikitisha sana.
Mrudishe kwao asikusumbue, kwasababu anatengeneza mazingira ya wewe umuogope. House girl hata umfanyie mazuri ya aina gani, yeye lazima alipe ubaya. Hao sio wakuwapendaMbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Fanya namba yake basi plz...Kaka Mimi Sina shida ila ngoja nilendelee kumvumilia mpaka mwezi uishi nione kama atabadilika.
Na alienitafutia huyu dada hizo Sifa alizo mwagia kuwa ana adabu sioni chochotee IMrudishe kwao asikusumbue, kwasababu anatengeneza mazingira ya wewe umuogope. House girl hata umfanyie mazuri ya aina gani, yeye lazima alipe ubaya. Hao sio wakuwapenda
sasa uje na uzi utuelezee namna mnavyoishi itapendezaAm sorry...nilielewa hivo...ila alhamdulilah tunaishi vizuri
Mkamilifu ni allah pekee.