Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Hahahahhaha ndio naijua....Unaijua nyimbo ya zuchu "Siji"😅
Daaah najuta sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhaha ndio naijua....Unaijua nyimbo ya zuchu "Siji"😅
Najuta kuanzisha huu ujinga ahahaHahahaha na Utaendelea kujuta
Ndio inavyokuwa boss lazima upewe CV nzuri. Hao viumbe wana visa vya kila aina, hawapendeki, kulea watoto baba na mama wote mkiwa kwenye ajira ni mtihani mkubwaNa alienitafutia huyu dada hizo Sifa alizo mwagia kuwa ana adabu sioni chochotee I
Kwakweli😬😂unatuhadithia mambo kwa polepole mno hutuhadthii unavyoishi na mawifi, unavyompikia mumeo hata mnavyolala kwa sababu umeamua kutupa episode za maish yako mimi nimeona nikuongezee vipande katika script yako
Muonyeshe upendo zaidi mfanye kama mdogo wako uliezaliwa tumbo moja nae ili alutunzie watoto vyema 😃😃🍷Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Msamiati wa Adabu: Linapotumika kuelezea mtu, "shenzi" hurejelea mtu asiye na adabu, aliye mkorofi, au asiye na maadili mazuri. Inaweza kumaanisha mtu ambaye vitendo vyake havikubaliki kijamii.Mbona unatukana?
Anamaanisha Kwamba eti wewe Matatizo yako ya akili yamezidi..Unamaanisha nini?
Kulikuwa Kuna ulazima wa kutumia huo msamiati?Msamiati wa Adabu: Linapotumika kuelezea mtu, "shenzi" hurejelea mtu asiye na adabu, aliye mkorofi, au asiye na maadili mazuri. Inaweza kumaanisha mtu ambaye vitendo vyake havikubaliki kijamii.