Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kama unapenda familia yako Fanya mapema uanze Kutafuta binti mwingine hraka ndani ya wiki moja uyoo mrudishe uyooo mtto kwao siku si nyingi ataenda kukuripoti polisi
Aniripoti kwa kosa gani jamani!
 
Na alienitafutia huyu dada hizo Sifa alizo mwagia kuwa ana adabu sioni chochotee I
Ndio inavyokuwa boss lazima upewe CV nzuri. Hao viumbe wana visa vya kila aina, hawapendeki, kulea watoto baba na mama wote mkiwa kwenye ajira ni mtihani mkubwa
 
Ndio inavyokuwa boss lazima upewe CV nzuri. Hao viumbe wana visa vya kila aina, hawapendeki, kulea watoto baba na mama wote mkiwa kwenye ajira ni mtihani mkubwa
Na hapa ndo Bado sjajaliwa mtoto! Dah...
 
Wanawake ndio mnagubu sana na wadada wakazi kila kitu ,wanachofanya kibaya Shenzi.
 
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Muonyeshe upendo zaidi mfanye kama mdogo wako uliezaliwa tumbo moja nae ili alutunzie watoto vyema 😃😃🍷
 
Mbona unatukana?
Msamiati wa Adabu: Linapotumika kuelezea mtu, "shenzi" hurejelea mtu asiye na adabu, aliye mkorofi, au asiye na maadili mazuri. Inaweza kumaanisha mtu ambaye vitendo vyake havikubaliki kijamii.
 
Msamiati wa Adabu: Linapotumika kuelezea mtu, "shenzi" hurejelea mtu asiye na adabu, aliye mkorofi, au asiye na maadili mazuri. Inaweza kumaanisha mtu ambaye vitendo vyake havikubaliki kijamii.
Kulikuwa Kuna ulazima wa kutumia huo msamiati?
 
Back
Top Bottom