Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We zingatia tu comment yangu,. Uzuri Unajua nini nimemaanisha😜😜Upo nje ya mada mdada!
Wewe ulitaka niutumie upi? Ushauri tafadhali.Kulikuwa Kuna ulazima wa kutumia huo msamiati?
Laki tatu shopping...Mpe advance payment aonje utamu wa pesa na mwambie hicho kiasi hukati kwenye salary yake.
Mpelele shopping hata ya laki tu,aone freedom ya kuwa na pesa.
Umri wangu sio wa kufuatilia nyimbo za vijana wanaokaa uchi kama kwamba anagawa uchi.Laki tatu shopping...
Mkuu unaijua nyimbo ya ZUCHU inaitwa SIJI lakini...?
Watashindwa kukwambia ni kwamba wanapenda kukuenjoy,. Ila mimi nakuambia watu saizi wamechokwa na drama zako ni heri ungetafuta attention kwa namna nyingine huku ni kujidhalilisha,.Sawa msemaji wa familia ya Dr mfinanga.
Kila nkienda job namuachia buku...Bado kumpeleka shopping tu coz Hana hata week!Mpe advance payment aonje utamu wa pesa na mwambie hicho kiasi hukati kwenye salary yake.
Mpelele shopping hata ya laki tu,aone freedom ya kuwa na pesa.
Huyu kunakoelekea ataikimbia hii I’d yake😂Safi sana mkuu, kila wiki una~trend kwa,namna ya pekee. Japo kubaki kileleni ni kazi sana..
Hahahaha....off you go💔 wacha nilendelee kujidharirisha tu coz me mwenyewe napenda kufanya hivoWatashindwa kukwambia ni kwamba wanapenda kukuenjoy,. Ila mimi nakuambia watu saizi wamechokwa na drama zako ni heri ungetafuta attention kwa namna nyingine huku ni kujidhalilisha,.
Am sorry lakini #NoHardFeeling#
Buku ya nini kununua ice cream ya Azam au?Kila nkienda job namuachia buku...Bado kumpeleka shopping tu coz Hana hata week!
Ahahahahhahahahaa nimecheka kwa sauti hapa ...Umri wangu sio wa kufuatilia nyimbo za vijana wanaokaa uchi kama kwamba anagawa uchi.
Pole mwaya,. Hii mitandao sio ya kuikurupukia sana ndugu yanguHahahaha....off you go💔 wacha nilendelee kujidharirisha tu coz me mwenyewe napenda kufanya hivo
Mimi huyo??,. Aya sawa mwaya am sorry😫😫Utakimbia wewe diha