Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Sawa msemaji wa familia ya Dr mfinanga.
Watashindwa kukwambia ni kwamba wanapenda kukuenjoy,. Ila mimi nakuambia watu saizi wamechokwa na drama zako ni heri ungetafuta attention kwa namna nyingine huku ni kujidhalilisha,.

Am sorry lakini #NoHardFeeling#
 
Mpe advance payment aonje utamu wa pesa na mwambie hicho kiasi hukati kwenye salary yake.

Mpelele shopping hata ya laki tu,aone freedom ya kuwa na pesa.
Kila nkienda job namuachia buku...Bado kumpeleka shopping tu coz Hana hata week!
 
Watashindwa kukwambia ni kwamba wanapenda kukuenjoy,. Ila mimi nakuambia watu saizi wamechokwa na drama zako ni heri ungetafuta attention kwa namna nyingine huku ni kujidhalilisha,.

Am sorry lakini #NoHardFeeling#
Hahahaha....off you go💔 wacha nilendelee kujidharirisha tu coz me mwenyewe napenda kufanya hivo
 
Back
Top Bottom