Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Pole mwaya,. Chukua basi yourghut hapo kwa mangi uanze kunywa nakuja kulipa🥹,. Nikuletee na nini kingine??,. Chocolate au??Ndio utani unauma na nimeumia kweli nipo nalia🥺🥺🥺🥺🥺😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwaya,. Chukua basi yourghut hapo kwa mangi uanze kunywa nakuja kulipa🥹,. Nikuletee na nini kingine??,. Chocolate au??Ndio utani unauma na nimeumia kweli nipo nalia🥺🥺🥺🥺🥺😭😭😭
Mbona mtoto wa kiume😬😂😂Usilie mtoto wa kiume... Stay strong evn when xmebody chokoza you
Nawewe bhana, sio kuime, ni kiume... Yaani "K I U M E"Mbona mtoto wa kuime😬😂😂
Hajaolewa huyu ana changamsha genge tu, kama kaolewa kweli basi nampa pole sana ndugu muoaji maana kayatimbaunatuhadithia mambo kwa polepole mno hutuhadthii unavyoishi na mawifi, unavyompikia mumeo hata mnavyolala kwa sababu umeamua kutupa episode za maish yako mimi nimeona nikuongezee vipande katika script yako
Kiume🥲🥲Nawewe bhana, sio kuime, ni kiume... Yaani "K I U M E"
Namsikiliza tu anavyojimaliza😎🙄
Bibi mbuzi hii game ni yako tu ndo mitaa inavyosema 🎶Naam tupo wote hapa tunajidhallrilisha hapa jf...
Ee Mungu,. Mimi ni sister tatizo🥲Nataka qu ma Yako niku to mbe ndo machungu yangu yatapungua mwanaume mie
😂😂😂😂😂😂🌚Umeamua uweke HAUSGAL ili upate muda mwingi wa kushinda JF kujieleza maisha yako (kujidhalilisha) na kugawa "Reaction😍" kwa kila comment mwisho ushinde "Chipukiz trophy🏆" ?
Kumbe na wewe hua unatukana bi mzuri??Hahahaha 💔