Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Mimi niliita kusitisha mgogoro, mwamba akaja mazima, lakini sio yeye maana yeye last seen yake ilikuwa muda kidogo, itakuwa ni mod mwingineKumbe wewe ndio uliwaletea mods 😹😹
Kwa niliyoyasoma ilikuwa lazima ban zitembee🤣Mimi niliita kusitisha mgogoro, mwamba akaja mazima, lakini sio yeye maana yeye last seen yake ilikuwa muda kidogo, itakuwa ni mod mwingine
Umeona eeKwa niliyoyasoma ilikuwa lazima ban zitembee
Uzi wa Leejay49 na nyamwi umefungiwaKwa niliyoyasoma ilikuwa lazima ban zitembee
Ila ujumbe umefika jamani hata kama ni matani msizidishe, najua ninaefuatia ni mimi, may be kwaherini, nimeambiwa niwasalimie dakika 5 bila kuropokaUzi wa Leejay49 na nyamwi umefungiwa
Hajaja kufanya kazi ana yake huyo. Mfanyakazi utamjua tu. Au jaribu kunyamaza usimuulize chochote.Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Na KweliHuenda anaupwiru mruhusu akashughulikiwe nje,🔨🔨 ishi naye kwaakilli ukizubaa utajakuta ameshachinja wanao wote au Katia damu zenye ukimwi kwenye chakula au miswaki Bora Kama haeleweki mruhusu aende kwao 🤸🤸🤸
Duuh Mkuu nimeona mwenye uzi wake kaenda Jela tena vijana wana jazba za haraka sana sijui tatizo ni nini?Mkuu unafikiri wanasoma comment yako basi, wana liugomvi lao hapa la kitoto
Ugomvi mkuu, anatumikia kifungo 🤣Duuh Mkuu nimeona mwenye uzi wake kaenda Jela tena vijana wana jazba za haraka sana sijui tatizo ni nini?
Hiki kifungo kinakua cha muda gani mkuu ?Ugomvi mkuu, anatumikia kifungo 🤣
Kwa sababau watuhumiwa wana makosa sawa lakini kuna utofauti kidogo, mmoja nahisi kesho au leo leo atakuwa free, na mwingine kesho au keshokutwa atakuwa freeHiki kifungo kinakua cha muda gani mkuu ?
NdioWote wawili?
Huruma iliyojeNdio