Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kumbe wewe ndio uliwaletea mods 😹😹
🤣Mimi niliita kusitisha mgogoro, mwamba akaja mazima, lakini sio yeye maana yeye last seen yake ilikuwa muda kidogo, itakuwa ni mod mwingine
 
🤣Mimi niliita kusitisha mgogoro, mwamba akaja mazima, lakini sio yeye maana yeye last seen yake ilikuwa muda kidogo, itakuwa ni mod mwingine
Kwa niliyoyasoma ilikuwa lazima ban zitembee
 
Uzi wa Leejay49 na nyamwi umefungiwa
Ila ujumbe umefika jamani hata kama ni matani msizidishe, najua ninaefuatia ni mimi, may be kwaherini, nimeambiwa niwasalimie dakika 5 bila kuropoka
 
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Hajaja kufanya kazi ana yake huyo. Mfanyakazi utamjua tu. Au jaribu kunyamaza usimuulize chochote.
 
Ni changamoto hawa mabinti wadogo.
Bora kutafute mwenye 35+ na awe na mtoto uishi naye.
ila all in all tunasubiri Humanoid robots tununue maroboti ya kufanya kazi za nyumbani. Binadam hata umfanyie vipi huwez mridhisha.
Roboti Eunice atatufaa
 
Wasaidizi hawana fomula! Awe mdogo au mkubwa, wote waweze kuwa wazuri au vituko! Wewe ukiona kaanza vituko, ni kumrudisha tu kwao, usikubali kuwa mtumwa wake! Wengine wana visa sana, tena bila sababu za msingi!

Wengine hata ukimbeba mgongoni, bado atakuwa na visa tu! Ni kuendelea kujaribu jaribu, labda utampata mwenye akili. Vijana wengi akili zimekengeuka! Saa nyingine unaanza kujiuliza kama umemkosea bila kujua, kumbe hamna kitu! Wengine wakianza kuonwa na wavulana na kuambiwa ni warembo, basi vituko huanza, hasa wakiwa na simu!

Pole sana. Najua unachokipitia!
 
Back
Top Bottom