Pre GE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na sukuma gang hawafai kudharau maana watu wenye visasi ni hatari sana.Ila kumtegemea January ni ukosefu wa maarifa.Hata nguo huwa na brand.Sasa unamtegemeaje january?
Haha labda ndo maagizo ya mganga😀😀😀 Sukuma wameamua kukimbiza mwizi kimya,,,,,,na hata mtifuano huko Chadema kuna watu wapo kazini ndo maana yule dada yao Mange amewaonya wasijisahau sana na mambo ya Lisu na Mbowe kuna watu wa kitengo wapo kazini na hizo kazi wanaziwezaga vizuri watu wa ukanda ule wa yule mkuu wa mkoa wa Arusha,,,na hawa kwa mtawala hawezi kuwaweka pembeni ni kiungo muhimu sana,,,...kwa mkwere utapata tu propaganda na machawa kibao ila huwezi ukapata wazee wa kazi za muhimu.......
 
Ila lissu tumwangalie kwa jicho la mwewe,Ana mungu sana hasa kipindi kile alichopangua marisasi.
 
Hii nchi kikubwa ni atakaetangazwa na kuapishwa mwishoni ,,hapo katikati ni sarakasi tu za hapa na pale......na hao wa upande wa pili hawanaga nguvu labda jamaa wa huko nje waongee japo na wao wanatulizwagwa maana nao wanakula na kipofu
 
Yote yanafahamika ila mambo yote makubwa huanza kama upele.
 
Kikwete ni Alpha na Omega, Jana ndio imedhirisha Power yake ndani ya Government kauli yake ndio imetoa Guidance na Muongozo wa Kuendelea na azimio bila uwepo wake yule mzee Probably Bi mdashi wajumbe wangemzidi Nguvu, Halafu watu wengi sana wanamheshimu Kikwete
Aishi Miaka Mingi sana uyu Mzee wetu
 
Angewaokoa wakina January na Nape wasikaangwe.....na angezuia wale jamaa wasisogelee ofisi ya katelephone
 
Vitu vingi vina mwisho,shida ya msumbiji wanajuajua vita.
huku wamejaaa ma keyboard warriors ndo kabisa hamna kitu,,,,,kama hao wanaojua vita na wanapata kozi huku kwetu jamaa kaapishwa sembuse huku kwa ma keyboard warriors ndo kabisa jamaa watatangaza hata ushindi wa 99% watu watalalamika tu kwenye keyboard na imepita
 
Ila watanzania sio waoga,Mimi nadhani ni watu wenye hekima sana.Utashindanaje na mtu mwenye bunduki kwa mwili wa nyama.
 
Mama hajaingizwa mkenge ila anajua namna ya kucheza nao.....watu walikua wanacheki upepo tu,,,,,kumbukeni kuna ile nafasi ya katelephone bado.........kwenye ubunge ndo zinakuja sarakasi za kutosha
Hawezi kujua kuliko system iliyomweka na kama system imekubaliana na hicho kituko ni dhahiri inajua pa kuchomokea!!

System imara haiwezi kubali mgombea ajulikane miezi kumi kabla ya uchaguzi itakua system yaenye matobo tobo Tena na makam ajulikane mapema hivyo huoni unasababisha tension isiyo na maana!!?

Naamini Maandishi ya TumainiEl na Tumia akili!
 
Bakini ambapo panawapa faraja.....bado kwa waziri mkuu watu wanakuja
 
Urais bado sana mkuu!!yaani waarabu +wachina vs America +Europe ndio vita iliyopo sasa!!

Think deep utanielewa!
Labda litokee la 2021 na hilo limeeleweka ndo maana kete pia zimepangwa kivita......watu mnamu underestimate sana huyu mama
 
Mama amejitahidi sana!japo kawakosea jamaa coz walitaka kitabu yeye akaita ni kijitabu tu!!

Ngoja tuone miezi kumi kabla ya uchaguzi ni mbali sana aiseh!Kwa mara ya kwanza mgombea anakua rasmi miezi kumi kabla ya kipyenga hiyo no risk kimvuto wa kisiasa!!

Ndio Maana jk alitaka iwe rasmi !kuwa RASMI NI CODE KUBWA sidhani kama walielewa upande wa kizimkazi!!
 
Msoga wana hali ngumu ila inabidi wasake tu chaka la kujificha maana makamu alikua wa upande wa Lowasa hujui sahivi na yeye anaenda na gia gani....labda kama wawe wameyajenga....ila msoga waliwekeza nguvu kubwa sana kwa January na wenzake,,,na upepo umebadilika ghafla kwahio lazima watafute sehem yakujishikiza na ambao kidogo zinaweza zikaiva ni wale wa Laigwanan kama wameweka tofauti zao kando..........Sukuma wanacheza kete kote kasoro upande wa msoga tu
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wewe unadhani Nchimbi alikuwa timu Edo kutoka Moyoni? Mambo mengine mazito wewe kuelewa.
 
Kwani kwa sasa kuna timu 1 tu? Watu wanapiga honi hapo kwa katelephone......Nchimbi hata mambo yakitick nafasi ya umakamu haina nguvu kubwa kama hapo kwa waziri mkuu, kwahio hadi hapo jamaa ameshatulizwa kwenye nafasi ambayo haina makeke mengi,,kwahio hata wale watakao amua kua upande wake ni kwamba wanajua mapema kabisa mwisho wa siku jamaa ni makamu wa rais tu....nafasi ya kushika mikasi na kuzindua miradi.....ila upande ule walishaanza kupiga honi mapema kwa katelephone na wakijipanga vizuri ile nafasi wanaibeba
 
Mama amejitahidi sana!japo kawakosea jamaa coz walitaka kitabu yeye akaita ni kijitabu tu!!

Ngoja tuone miezi kumi kabla ya uchaguzi ni mbali sana aiseh!Kwa mara ya kwanza mgombea anakua rasmi miezi kumi kabla ya kipyenga hiyo no risk kimvuto wa kisiasa!!

Ndio Maana jk alitaka iwe rasmi !kuwa RASMI NI CODE KUBWA sidhani kama walielewa upande wa kizimkazi!!
Anataka atangaziwe......watu wameshafanya....kwanza kuletewa yule mzee wa Bunda kwenye ile nafasi ni signal tosha
 
Back
Top Bottom