Haha labda ndo maagizo ya mganga😀😀😀 Sukuma wameamua kukimbiza mwizi kimya,,,,,,na hata mtifuano huko Chadema kuna watu wapo kazini ndo maana yule dada yao Mange amewaonya wasijisahau sana na mambo ya Lisu na Mbowe kuna watu wa kitengo wapo kazini na hizo kazi wanaziwezaga vizuri watu wa ukanda ule wa yule mkuu wa mkoa wa Arusha,,,na hawa kwa mtawala hawezi kuwaweka pembeni ni kiungo muhimu sana,,,...kwa mkwere utapata tu propaganda na machawa kibao ila huwezi ukapata wazee wa kazi za muhimu.......