Achana na kukarii, Yanga hii kuzuilika ni ngumu, pia msimu hamtakuwa na vile viporo vyenu.One match wonder hao huwa ni wa zuri kwa kukamia game moja tu zinazofata anarudi kwenye ubovu wake bado hawez kubeba ligi
Naunga mkono hoja....Simba imesajili wavulana wengi.
Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off
Kabisa ,Yanga wanakamia tu mechi ya mtani ndiyo maana ligi wanaikosa cos hawana mwendelezo mzuriOne match wonder hao huwa ni wa zuri kwa kukamia game moja tu zinazofata anarudi kwenye ubovu wake bado hawez kubeba ligi
Ulitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off
Hawa Yanga ni hamnazo wamesahau waliifunga Simba ikiwa na Chama na Miqueson mara mbili cos akili zao ni kama za mbuzi hiviUlitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?
Mimi kama shabiki wa simba, nilivyowaona wachezaji wapya naamini watakaa sawa na wataleta faida kubwa sana, it's a matter of time.
Timu zote duniani huuza wachezaji ili kuleta faida, this is business.
Hawa utopolo kutufunga siyo tu kwakuwa chama na Miquissone hawapo, walishatufunga hata wakiwepo, this is derby.
Shabiki maandazi hana uvumilivu, this is a slight transition.
At least umeadmit kuwa Kuna slight transitionUlitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?
Mimi kama shabiki wa simba, nilivyowaona wachezaji wapya naamini watakaa sawa na wataleta faida kubwa sana, it's a matter of time.
Timu zote duniani huuza wachezaji ili kuleta faida, this is business.
Hawa utopolo kutufunga siyo tu kwakuwa chama na Miquissone hawapo, walishatufunga hata wakiwepo, this is derby.
Shabiki maandazi hana uvumilivu, this is a slight transition.
Of course when a key player (Esp. Chama) misses you've to switch to new style and system of playing.At least umeadmit kuwa Kuna slight transition
Time will tell kama mpira ni biashara au la. What I know is you can't have both ways.Ulitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?
Mimi kama shabiki wa simba, nilivyowaona wachezaji wapya naamini watakaa sawa na wataleta faida kubwa sana, it's a matter of time.
Timu zote duniani huuza wachezaji ili kuleta faida, this is business.
Hawa utopolo kutufunga siyo tu kwakuwa chama na Miquissone hawapo, walishatufunga hata wakiwepo, this is derby.
Shabiki maandazi hana uvumilivu, this is a slight transition.
Hahaaa hadi kina Lwanga wakabaki kucheza rafu tu, mwamuzi kamvumilia hadi kaona aibu mwenyeweYannick Bangala....
Khalid Aucho......
Fei Toto.....
Hapa Kati hapa....yaani pale Kati paleee.....LUNYASI WALIPOTEANA MNOOOO.....[emoji1787]
Mnooo🤣Hahaaa hadi kina Lwanga wakabaki kucheza rafu tu, mwamuzi kamvumilia hadi kaona aibu mwenyewe
Sawa pesa wamepata....kuliziba ombwe itachukua muda......huku sisi Yanga tukiendelea kuchanja mbuga.....ikifika mwezi wa 11 hakuna TIMU "itakayoomba" kukutana na Yanga katika ligi kuu.....Time will tell kama mpira ni biashara au la. What I know is you can't have both ways.
Keep wachezaji wazuri ubaki na timu nzuri au uza key players upate pesa.
Kupanga ni kuchagua.
Usemacho ni kweli kwa YANGA ya zamani....si hii ya akina Aucho ,Bangala ,Fei ,Moloko na Djuma Shabani....muda utaongea!!Kabisa ,Yanga wanakamia tu mechi ya mtani ndiyo maana ligi wanaikosa cos hawana mwendelezo mzuri