Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
•Wananzengo mashabaki wote wa mpira nakiri mbele zenu mwaka huu ubingwa unaenda jangwani kwa wenzetu walioukosa kwamiaka minne... usajili wao ni wamaamuzi magumu sana, kweli Yanga wamesajili kwakudhamiria tofauti na Simba... Simba ni timu nzuri ila Yanga wamesajili wachezaji wazuri msimu huu.
•Uzuri wa ligi yabongo Bingwa anaonekana mapema, ukweli Yanga kupoteza ningumu jamani and time will tell!
•Endelea hivohivo mtani mwaka huu chukua tyu sisi tutajipanga mwakani!
•Mechi yajana hakuna wakumlalamikia, strikers wa Simba walishikwa kila eneo hawakywa na jinsi ila PABLO hana plan B kabisaa!
•Watani wenzangu Yanga NISAMEHENI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA kwa kuwasema January Simba itaongoza ligi!
NB: machozi yananitoka sababu ukweli unauma bye! bye! 🦁 ubingwa
😭😭😭😭