Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

Of course when a key player (Esp. Chama) misses you've to switch to new style and system of playing.

Chama alikuwa injini muhimu kwenye mfumo wa makocha wa simba, inabidi kubadili attacking strategies ili kuwa na style mpya ya kushambulia.
😍
 
Kilichobadilika Yanga ni kule kuzishughulikia "second balls"....ukidondoka tu kuna watu wa kukokota mipira mbele....Yannick Bangala na Khalid Aucho were superb today😍
 
Yanga no nzuri,lakini haionfoi ukweli kuwa Simba bado no nzuri Sako,Banda na Kanute wakitulia na kiingia kwenye mfumo wa kocha Mambo uataku2a sawa!
Logo itakuwa Tamu...hongereni utopolo!
Tuwape wiki 60.....

Kwani wiki 6 wamekuwa pamoja....
 
Mashabiki wa Uto mbona mnajitoa ufahamu mapema hivi.

Hii mechi kama si kocha kukuanzishia Mugalu na Dilunga mngelala na viatu leo mbona.

Kingine nataka leo mtupe ukweli wenu lile lango mbona kila mechi tukipoteza tunakuwa lango lile au mshafukia misukule yenu hapo🐸🐸
 
Mtani hao wachezaji uliowataja siyo wa Simba?Hawakutakiwa kucheza au?Kunywa Mo energy nitalipa hahaha
 
Mtani hao wachezaji uliowataja siyo wa Simba?Hawakutakiwa kucheza au?Kunywa Mo energy nitalipa hahaha
Ni wetu mtani sema ndo imeshakuwa hivo. Sema nini pongezi kwako lakini nipeni siri ya lile lango maana kila game tukianza upande ule tunalala mapema vp kuna kitu pale
 
Ni wetu mtani sema ndo imeshakuwa hivo. Sema nini pongezi kwako lakini nipeni siri ya lile lango maana kila game tukianza upande ule tunalala mapema vp kuna kitu pale
Acha mawazo ya kishirikina mtani.Sajili vijana wape mazoez ya maana.
 
Ligi ni marathon.
Naiombea timu yangu kila tournament tunayoshirik FA na Ligi tuchukue ubigwa msimu huu tupoze angalau machungu ya misimu 4 yote iliyopita na mda ni huu.
Sababu tunayo na uwezo tunao wachezaji wazuri tunao mazingira safi tunayo
Ubigwa tunauitaji kwa sasa.
 
Si ndio mnapenda kuona ujinga ujinga wa show off badala ya matokeo.

Na Manara ndiye aliyeleta ujinga huu Simba eti pira biriani.Na mashabiki wengi walivyo maandazi wakabaki kushangilia pasi badala ya ushindi
Mkuu Simba imechukua Ubingwa Mara nne Mfululizo,im3cheza Ligi ya Mabingwa kwa mafanikio ...Sasa mnataka Nini.Hebu tuache ushabiki maandazi!
Siku hazifanani kwenye mashindano kina ups and downs!
 
... marehemu Zacharia Hanspope (RIP) alikuwa nguzo muhimu sana SSC! Sijui itakuwaje!
...Alikuwa anacheza nafasi gani?.... anyway Simba bado ni timu nzuri tu.
 
Back
Top Bottom