Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😍Of course when a key player (Esp. Chama) misses you've to switch to new style and system of playing.
Chama alikuwa injini muhimu kwenye mfumo wa makocha wa simba, inabidi kubadili attacking strategies ili kuwa na style mpya ya kushambulia.
Waliifunga Simba wakiwa WATUPU pale Kati.....Hawa Yanga ni hamnazo wamesahau waliifunga Simba ikiwa na Chama na Miqueson mara mbili cos akili zao ni kama za mbuzi hivi
Tuwape wiki 60.....Yanga no nzuri,lakini haionfoi ukweli kuwa Simba bado no nzuri Sako,Banda na Kanute wakitulia na kiingia kwenye mfumo wa kocha Mambo uataku2a sawa!
Logo itakuwa Tamu...hongereni utopolo!
Mtani hao wachezaji uliowataja siyo wa Simba?Hawakutakiwa kucheza au?Kunywa Mo energy nitalipa hahahaMashabiki wa Uto mbona mnajitoa ufahamu mapema hivi.
Hii mechi kama si kocha kukuanzishia Mugalu na Dilunga mngelala na viatu leo mbona.
Kingine nataka leo mtupe ukweli wenu lile lango mbona kila mechi tukipoteza tunakuwa lango lile au mshafukia misukule yenu hapo🐸🐸
Ni wetu mtani sema ndo imeshakuwa hivo. Sema nini pongezi kwako lakini nipeni siri ya lile lango maana kila game tukianza upande ule tunalala mapema vp kuna kitu paleMtani hao wachezaji uliowataja siyo wa Simba?Hawakutakiwa kucheza au?Kunywa Mo energy nitalipa hahaha
Acha mawazo ya kishirikina mtani.Sajili vijana wape mazoez ya maana.Ni wetu mtani sema ndo imeshakuwa hivo. Sema nini pongezi kwako lakini nipeni siri ya lile lango maana kila game tukianza upande ule tunalala mapema vp kuna kitu pale
Ngoja nilichukue hili lakini itabidi lile lango nlichunguze kwa jicho langu binafsi.Acha mawazo ya kishirikina mtani.Sajili vijana wape mazoez ya maana.
100℅One match wonder hao huwa ni wa zuri kwa kukamia game moja tu zinazofata anarudi kwenye ubovu wake bado hawez kubeba ligi
Muite mwenzio Mshana uende naeNgoja nilichukue hili lakini itabidi lile lango nlichunguze kwa jicho langu binafsi.
Hapana hii itafanyika kisayansi zaidi mtani hamna uganga katika hiliMuite mwenzio Mshana uende nae
Kilala Kheri mtaniHapana hii itafanyika kisayansi zaidi mtani hamna uganga katika hili
Shukrani asee hongera kwako asee leo goli lako lilikuwa zuriKilala Kheri mtani
Mtani tuliposema tunasajili hatukuwa tunatania hahahaa.Mugalu banaShukrani asee hongera kwako asee leo goli lako lilikuwa zuri
Makofi apigiwe Kanoute kwa kubattle na hawa maPro watatu, dogo kaonesha uhai sana, very promising.Yannick Bangala....
Khalid Aucho......
Fei Toto.....
Hapa Kati hapa....yaani pale Kati paleee.....LUNYASI WALIPOTEANA MNOOOO.....[emoji1787]
Mkuu Simba imechukua Ubingwa Mara nne Mfululizo,im3cheza Ligi ya Mabingwa kwa mafanikio ...Sasa mnataka Nini.Hebu tuache ushabiki maandazi!Si ndio mnapenda kuona ujinga ujinga wa show off badala ya matokeo.
Na Manara ndiye aliyeleta ujinga huu Simba eti pira biriani.Na mashabiki wengi walivyo maandazi wakabaki kushangilia pasi badala ya ushindi
...Alikuwa anacheza nafasi gani?.... anyway Simba bado ni timu nzuri tu.... marehemu Zacharia Hanspope (RIP) alikuwa nguzo muhimu sana SSC! Sijui itakuwaje!