chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 311
- Thread starter
-
- #41
Kisheria pale unapopewa barua ya kusimamishwa kazi inapaswa iandikwe na muda ambao unasimamishwa kazi of which it has to be reasonable kwa hiyo reasonable time itategemea na tuhuma yenyewe pamoja na muda wa uchunguzi kwa vigezo hivyo ndipo hesabu ya reasonable time hupatikana. Na iwapo muda ukipita unaweza kuwaandikia barua waajiri wako kujua hadhi ya ajira yako japo.Ukiwa na tuhuma fulani kazini, na ukasimamishwa kazi kupisha uchunguzi, je uchunguzi huo unachukua mda gani kisheria? Na je mda huo ukipata bila tume ya uchunguzi kufanya chochote wala kutoa maamuzi yoyote nini kifanyike au sheria inasemaje kuhusu hilo?
Shukrani mkuuKisheria pale unapopewa barua ya kusimamishwa kazi inapaswa iandikwe na muda ambao unasimamishwa kazi of which it has to be reasonable kwa hiyo reasonable time itategemea na tuhuma yenyewe pamoja na muda wa uchunguzi kwa vigezo hivyo ndipo hesabu ya reasonable time hupatikana. Na iwapo muda ukipita unaweza kuwaandikia barua waajiri wako kujua hadhi ya ajira yako japo.
KaribuShukrani mkuu
Walimu na nyie mnatia aibu!.Nisaidie hili , Mtumishi mmoja wa idara ya Elimu , "alitoroka" kituo cha Kazi kwa kupata barua FEKI ya Uhamisho toka Kituo /Shule mmoja mjini Mwanza na kwenda Kufundisha Shule fulani moani Morogoro , Ulipokuja uhakiki wa watumishi ilibidi arudi Mwanza ambako alipewa charge sheet na TSD kwa kuwa amesimamisha na atapokea Nusu Mshahara , akapewa siku14 kuwa amejitetea kwa nini asifukuzwe kazi ,
Likajazuka la uhakiki wa watumishi , akapelekwa TAKUKURU ambako aliamriwa kurejesha pesa alizopokea akiwa nje ya kituo chake cha Kazi ambako anahesabiwa "MTORO" , akiwa anafanya hivyo , ile nusu Mshahara pamoja na Account yake ya Bank ZIKAFUNGWA hivyo pesa ya nusu mshahara ikio bank Marejesho ya pesa alizotakiwa kurejesha alisha maliza kurejesha Mpaka leo hajapata majibu ya TSD na Pia mkurugenzi wa Mji haja mpatia barua kutamka kuwa amefukuzwa kazi hivyo yupo ana "hang" bila kujua hatima yake , akienda kwa HR aanambiwa hilo ni agizo toka ngazi za juu
IPI FATE YA MWALIMU HUYU KIUTUMISHI
Asante
Kisheria yajue hayaWakuu msaada wenu,
Mtumishi wa serikali akiacha kazi kwa hiari yake huku anadaiwa mkopo benki itakuwaje?
Wanajamvini wenzangu kwa yeyote Mwenye shida na maswala ya sheria za kazi awe huru kuniuliza
Karibuni!
Huyu mtu anafanya kazi kwa wahindi? Ni mlinzi? Kamshahara kama posho!!Watakuja Wahusika
chumvichumvi heshima kwakwo,Kuna mwenyewe swali juu ya maswala ya kazi
Sio kufungwa tu, utafungwa endapo hautakuwa na uwezo wa kulipa hilo deni, lakini kama mlisaini na mkataba wa kimaandishi basi utalazimika kisheria kulipa hilo den, kwa sababu utakuwa unabanwa na mkataba mliosainiana, hapo huwezi kukwepa hilo deni cha msingi kama watakupeleka mahakamani uiombe mahakama mkamalizane nyumban basiNaombeni msaada wa kisheria mimi ni mtumishi nilienda kukopa pesa kwenye taasisi moja ya kifedha hizi ndogondogo ambazo wanakupa pesa alafu unawaachia kadi yako ya benki na tulijaza mkataba na kutia saini. Ila nimeshindwa kulipa deni lao kwa wakati ivyo wamenitishia kunishitaki sasa je nifanyaje na je ninaweza kufungwa?
Kama mlichosainiana kwenye mkataba ni tofauti na unachopewa, basi cha kwanza kabla haujafuata hatua ya kisheria mwandikie barua ya kumwomba atekeleze kutoka na mkataba na umpe siku 5 ndan ya kaz awe ameshakujibu. Siku 5 zikipita andika barua ya pili ukimwambia kwamba rejea barua yangu ya tareh fulani yenye kichwa cha habari fulani, nakumbushia juu ya utekelezaji mpe limitation time. Asipokujibu sasa ruksa kwenda mahakamani ukiwa na ushahidi wa baruaNinahitaji kufahamu boss anakupa mkataba usign kuwa anakulipa elfu anakuambia sign usijari lAkin mwisho wa mwez mshahara anakulipa elfu 3.je hapa mimi kama mfanyakazi nilishasign lakini pengine mbele nitafukuzwa Kazi nifanyanye napofukuzwa Kazi ili bos anilipe 3 yangu baada ya ile elfu iliyomo kwenye mkataba
Soma sheria ya utumishi wa umma inasemajeKuna sheria yoyote inamkataza mfanyakazi wa serikali kujiusiisha na mikataba ya kibiashara awapo kazini?
Mkuu nashukuru kwa majibu mazuri. Tatizo muda huu haupo tena maana kuna mfuko flani wa jamii hutoa huduma za bure za matibabu kwa wanachama wake.wanakupa form upeleke kwa muajiri wako kuna mahali anatakiwa ajaze Mara tatu za mwisho yeye kukuingizia michango.nikampa form akanizungusha zungusha kwa kuwa tangia mwaka ulopita hajaingiza mchango.nimemsitiza sana zikawa ni kalenda.Kama mlichosainiana kwenye mkataba ni tofauti na unachopewa, basi cha kwanza kabla haujafuata hatua ya kisheria mwandikie barua ya kumwomba atekeleze kutoka na mkataba na umpe siku 5 ndan ya kaz awe ameshakujibu. Siku 5 zikipita andika barua ya pili ukimwambia kwamba rejea barua yangu ya tareh fulani yenye kichwa cha habari fulani, nakumbushia juu ya utekelezaji mpe limitation time. Asipokujibu sasa ruksa kwenda mahakamani ukiwa na ushahidi wa barua
Soma sheria ya utumishi wa umma inasemaje
Kwenye mtandao ipo mbona. Google tuNaweza nikapata quotes ya hiyo sheria
Kaz tulianza 2015 kati kati tukafanya hadi 2016 , 2017 hii tumepewa mkataba Jan unaisha 20 /2018Una muda gani tangu uanze kazi hapo? Na mkataba wako ulikuwa wa muda gani?