Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

Hyo notification ya kwamba unaitwa KWENYE kikao cha kinidhamu ulipewa ndan ya muda gan? Je unatuhumiwa Kwa kosa gan? Na ulishaambiwa haki zako ndan ya kikao cha kindhamu?
 
Mkataba wa mwaka mmoja?
Ni mwaka mmoja.mkuu mchana wa Leo ni siku ya hiyo kikao unanishaurije kuhusiana na tuhumu anazonituhumu nizikane au nizikubal
Hyo notification ya kwamba unaitwa KWENYE kikao cha kinidhamu ulipewa ndan ya muda gan? Je unatuhumiwa Kwa kosa gan? Na ulishaambiwa haki zako ndan ya kikao cha kindhamu?
Mkuu naweza kuja pm
 
Mkuu kikao amekuja Dada mmoja n mwenyekit .wamechukuliwa wafanyakaz watatu mmoja amepewa ukatibu,mmoja mjumbe,mmoja anamwakilisha Bo's kama mlalamikaj je hapo n sawa
Huyo Dada unamfahamu?
 
K
Nn hatima ya kikao hcho? Yan wameamua nn?
kikao mkuu kimeniacha sielewi nifanyanye yule Dada simfahamu japo nilimuuliza je we n nan we n hr akajibu ye anaitwa fulan n mwenyekit bos amemchagua ye awe mwenyekit WA kikao na amemchagua huyo meneja jina ambaye mzungu amemchezea akil amemuambia ye n gm wakat kitambulisho chake cha Kazi kinaonyesha ye ni waiter hajawah kumpa hata barua ya kumthibitishi a ye n gm LEO amesimama kama mlalamikaji wakat mlalamikaj n bos.niliwakataa hao watu awali huyo Dada akanilazimisha tuendelee na kikao
 
N vzr unitafut Kwa hy namba
 
Nitafute KWENYE namba zangu,,nikupe maelekezo kama kikao chako kilikuwa halali au batili,,Maan kuna maswar yapaswa nikuuliz
 
Mfano mfanyakazi umeshinda kesi cma kwa kuachishwakazi pasipokufuata taratibu na hakuna sanabu za msingi serikari ikakata rufaa HC ukashinda tena,lakini serikali haikulipi na sheria zinakataza kukamata mali za serikali kuu,utafanyaje ili ikulipe kwa wakati?
 
Je sheria inasemaje mwajili kumtuhumu mwajiriwa kwa kesi ua jinai na kumfukuza kazi pasipokumfikisha mahakamani?
 
Napenda kujua nini mtumishi afanye anapoachishwa kazi pasiposanabu za msingi na kutofuatwa taratibu hakupewa nauli wala stahiki zake zozote na mwajiri amekata rufaa HC?
 
Naomba kujua taratibu za kujisajiri kufanya bar exams Zanziber
 
Je sheria inasemaje mwajili kumtuhumu mwajiriwa kwa kesi ua jinai na kumfukuza kazi pasipokumfikisha mahakamani?
Mwana kwetu HAPA ,,inabd uweke maelezo ya kutosha ,kosa gan alipatikan nalo? Ndipo amelekezo yaje
 
Mkuu nashindwa kukushauri sababu theoretically kuna serekali kuu ila practically serekali kuu inaundwa na taasisi na idara mbalimbali ungesema moja kwa moja ni idara au taasisi ipi uliyoishinda na bado hawajakulipa sababu ki utendaji na kwa taratibu huwa zinatofautiana kwenye kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na ulipaji wa madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…