DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hizo fani zinapendeza aanze na diploma then degree if possible.Mfano, ataka kuwa electrical engineer au career inayoendana na hio, aende Advance, ordinary diploma, ama vocational education(VETA)?
Tanzania tunatakiwa tufumue mfumo wa elimu yetu ili watu wajue ni kwa nini wanakwenda shuleni. Shule zimegeuka vituo vya kukariri badala ya kuelimika. Huyo mtoto anapenda kusoma nini na anataka kufanya kazi gani? Zile zama za kuchagulia watoto wasome nini au kuulizia randomly kama kama unavyojaribu kufanya zinatakiwa kufutwa.HESHIMA MBELE wakuu.
Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma.
Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi za elimu hizi zina ubora sawa ama kuna moja ina ubora kuliko nyingine.
Kati ya elimu hizo mbili ipi ni nzuri zaidi kwa mtoto, bora asome chuo cha kati au bora asome kidato cha 5 & 6?
Na kwa zama tulizopo ni bora mwanafunzi aende Diploma baada ya kumaliza kidato cha 4 au aende Advance kwa maana ya Kidato cha 5 na 6?
Mfumo ushahackiwa huu, mfumo wetu wa elimu ni wa kipuuzi sijapata kuona.Tanzania tunatakiwa tufumue mfumo wa elimu yetu ili watu wajue ni kwa nini wanakwenda shuleni. Shule zimegeuka vituo vya kukariri badala ya kuelimika. Huyo mtoto anapenda kusoma nini na anataka kufanya kazi gani? Zile zama za kuchagulia watoto wasome nini au kuulizia randomly kama kama unavyojaribu kufanya zinatakiwa kufutwa.
baba wenu wa taifa alikuwa mpuuzi sanaKingine kwanini mfumo utumie kiswahili katika "msingi"
Ili ije impe urahisi Kupursue MD kwasababu vyuo vya afya vina priotize wanafunzi wa form six kuliko Diploma ambao wamesoma Clinical officerKWANINI career za afya aende Advance(form 5 & 6), unaweza kutoa maelezo hapo mkuu.
Huyo jamaa sijawahi mkubali toka nipo mdogo, like what is ujamaa na kujitegemea! katika dunia inayokua kwa kasi wewe unaleta mbanga za kujitegemea na ujamaa sijui ujima.baba wenu wa taifa alikuwa mpuuzi sana
leo hii: google, apple na MS product dev. hubs zipo hapo Kenya
Pokea tano mkuu. Hili la lugha ndiyo sumu kubwa inayoingamaiza Tanzania. Vitu vyote vya kitaalam na kazi zote zinatumia english wakati sisi tunakomaa na kiswahili. Matokeo yake Tanzania imekuwa kama kisiwa cha wajinga na tunaambukizana ujinga wetu. Nilisangaa kweli kweli kugundua kuwa lawyers wetu wengi hawako comfortable kwenye kutumia lugha ya kiingereza kama wakenya. Sisemi wazungumze kama waingereza bali waweze kutetea hoja kwa kutumia points zenye mashiko.Mfumo ushahackiwa huu, mfumo wetu wa elimu ni wa kipuuzi sijapata kuona.
Mfumo unamuandaa mtu kuajiriwa badala ya kuelimika/kujiajiri, wachache hushtukia mfumo na kujiandaa.
Kingine kwanini mfumo utumie kiswahili katika "msingi" kisha utumie kiingereza madaraja ya juu? Msingi ndio hujengwa kwa uimara ili nyumba nzima iwe imara.
Ni ngumu sana kukiuza kiswahili huko dunia ya pili na ya kwanza, au hata hapa hapa kwenye dunia yetu ya tatu. Ni lugha ya mazungumzo tu, lakini katika biashara, afya, elimu, sheria n.k kiswahili kina nafasi ndogo sana, niseme finyu.Pokea tano mkuu. Hili la lugha ndiyo sumu kubwa inayoingamaiza Tanzania. Vitu vyote vya kitaalam na kazi zote zinatumia english wakati sisi tunakomaa na kiswahili. Matokeo yake Tanzania imekuwa kama kisiwa cha wajinga na tunaambukizana ujinga wetu. Nilisangaa kweli kweli kugundua kuwa lawyers wetu wengi hawako comfortable kwenye kutumia lugha ya kiingereza kama wakenya. Sisemi wazungumze kama waingereza bali waweze kutetea hoja kwa kutumia points zenye mashiko.
Mkuu Nyerere (kwangu mimi) ni mmoja ya marais waliofanya vizuri sana Afrika. Mimi naona matatizo matatu makubwa kwenye uongozi wake 1. Kuvuruga elimu yetu na ku-introduce mfumo ambao unatoa watu wasioelimika. 2. Kutumia muda na raslimali nyingi kupigania nchi nyingine na kusahau nchi yake. 2. Siasa za ujamaa na kujitegema alizoasisi siyo mbaya bali tatizo ni watu aliokuwa anajaribu kuwaongoza. Mwafrika na hasa mtanzania siyo mtu wa kuweza kufauata hizo siasa kwa sababu ni mvivu, mwizi na mbinafsi. Nimewahi kuishi nchi za Scandinavia, na maisha yao hayana tofauti kubwa sana na siasa za Nyerere.Huyo jamaa sijawahi mkubali toka nipo mdogo, like what is ujamaa na kujitegemea! katika dunia inayokua kwa kasi wewe unaleta mbanga za kujitegemea na ujamaa sijui ujima.
Shule ya A level ni ya kibingwa sana. Watu wa Diploma huwa na advantage kuwa, baadhi ya vitu vya profession huwa wameshavisoma tayari hivyo kuwa na faida flan darasani ila waliotoka A level still wanacope na kuwakimbiza wazee wa diploma.Umesema ukweli kabisa Chica, nilitoka fresh from school nikawa naona kabisa wale wa diploma wako nondo zaidi kuzidi sisi wa kidato cha sita, walikuwa wanashuka halafu kuna ile washazoea maisha ya chuo wakati sisi ndio tuaadapt.
Nakumbuka ni mara ya tatu nakuambia Anza na kusalimia...Mkuu uongo umeanza lini, ni kweli haya mnayaongea kila siku 😀 jana mliyaongea, juzi, mtondo, mtondo goo, na mtondo wake!
Mkuu me kukusalimia hapana, umetangulia kuliona jua lakini mimi limenichoma sana.Nakumbuka ni mara ya tatu nakuambia Anza na kusalimia...
Hii ni last warning kesho sitoongea hata sawa itakua ni kukuadabisha sawa