Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

Mama Samia unataka kusema wenye uwezo mdogo ndio huenda Diploma!?
 
Mkuu me kukusalimia hapana, umetangulia kuliona jua lakini mimi limenichoma sana.
Kama unajiweza tuandae pambano tuzichape mtu be vitasa pro max kwa udhamini wa Inasikitisha Promotions ya Mbaga Jr
Khaaaa we jamaa umejiamini kiasi gani kuja kuzichapa live na mimi...

Oky nikuulize kitu tuu hvi unajiskiaje unapotaka kupambana na mtu ambaye anahakikisha usalama wa raia na mali zao...?
 
Khaaaa we jamaa umejiamini kiasi gani kuja kuzichapa live na mimi...

Oky nikuulize kitu tuu hvi unajiskiaje unapotaka kupambana na mtu ambaye anahakikisha usalama wa raia na mali zao...?
Anashindwa kuhakikisha usalama wa Computer yake. Umesahau ile day watu wa kodi walikufata unajua aliwatuma nani?
 
Anashindwa kuhakikisha usalama wa Computer yake. Umesahau ile day watu wa kodi walikufata unajua aliwatuma nani?
Oky labda ujui tuu kama kuna mambo inabidi tufanye ili raia wasijue exactly wanaishi na mtu wa namja gani..

Kama upo tayari kupambana live live na mimi anza mazoezi sawa...
 
Mkuu me kukusalimia hapana, umetangulia kuliona jua lakini mimi limenichoma sana.
Kama unajiweza tuandae pambano tuzichape mtu be vitasa pro max kwa udhamini wa Inasikitisha Promotions ya Mbaga Jr
Kampuni ya INASIKITISHA PROMOTION ipo tayari kugharamikia gharama zote za pambano pamoja na zawadi kwa mshindi wa kwanza
 
Mwanangu anamaliza form 4 mwaka huu na Hadi sasa tangia ameanza Hadi last month matokea Yake ya mitihani ya ndani hajawahi pata Chini ya Division 1 ya point 10.Ila tumekubaliana hakuna kwenda advance ni kuanza chuo na nitamsomesha mwenyewe Hadi afanya masters Insha'Allah
 
Insha'Allah umefanya uamuzi bora mkuu, namtakia mafanikio.
 

Kwanini Umefikia huu uamuzi, Ni yeye ndo kapendekeza au wewe?

By the way ni course gani mmekubaliana aende?
 
Advance za sasa hivi ni zoazoa tu, hata hao wanaoenda diploma au degree walio wengi ni tia chumvi tia maji. Imebak km fasheni tu.

Mkuu hivi ulishawai kukaa na Diploma holders ukajaribu kufanya conversation nao kwa hard topics moja na mbili?

Kuna Changamoto kubwa kua Advance iko too theoretical lkn inakuandaa kua more critical once Maisha yakakupa chance ya kufanya makubwa
 
Inategemea anayesom anatak kwenda fani gani na ana penda nini. Maana kuna swala la mkopo(HELSB) na kujiendeleza lina matter kwenye uchaguz wa advanc au chuo
 
Diploma ni bora sana hasa kwa watu wa sayansi. Ila kwa mtu wa fani kama ya sheria safari yake itakuwa ndefu sana chuo, takribani miaka 8 ya kusoma mambo yale yale kama ana mpango wakujakuwa wakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…