Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

Maneno mengi tu , Sasa elewa mtangulizi wake alifanya KAZI kweli kweli , ametimiza majukum yake KWa mjibu wa viapo vyao basi ,
Nikionacho watangulizi wake hawakuwai Kutana na janga kubwa la kitaifa Kama huyu , na sio yeye tu Kama ni kile msemacho jua walikuepo wengi ila Mambo yakawa sawa,

Binafsi nasema hongera zake KWa kustaafu, ila yote aliyoyatenda ni KWa mjibu wa katiba na SHERIA , hakuna jipya ,
Mkuu nikushuku Sana ,ila swali Sasa huyu amestahafu au , mjombaa nchi ni ya ajabu sana tutafika mbinguni tumechoka Sana ,unakimbia kushoto umapokea kulia, ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom