Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hu
Hutaki wangoni wenzako waendelee kula maishaKwa huyu Ndalichako nimeumia sanaa, si hata wamgesema atapangiwa kazi nyingine, eti ametenguliwa lol.
Huyu waziri anafaa sana ktk wizara ya Elimu, bas ni vile serikali haijui kumtumia mtu, nimeumia, nampenda sana Ndalichako.
Yaan wanamtoa ndalichako, afu jenista, kairuki, na ummy wanabakii khaaah