Nakupendaga Shosti..don't go! Nani kakuudhi tumshughulikie?Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
wasalim huko uendakoWapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Mbona nipo kila sikumbona siku nyingi zmepita sijakuona mtoto wa mzee nanii?..
UKOJEE????????????????Wapendwa,