Kwaherini

Kwaherini

Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
Nakupendaga Shosti..don't go! Nani kakuudhi tumshughulikie?
.
.
Please come back with another ID. Wewe ni jembe bwana huwezi kudisappear hivi hivi.
 
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
wasalim huko uendako
 
Katika watu ambao nawakubali ndani ya JF ni pamoja na wewe Sky.

Jamani unaondoka????? haya basi kwa heri.
 
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
UKOJEE????????????????
UZURI WA JF UNAWEZA KUCHACHANGIA MADA HATA KAMA UKO KATIKATI YA MGEGEDANI😵😵😵😵😵
 
Uende kwa amani, tulikupenda sana lakini huyo mwingine kakupenda zaidi. Ulikuja na sasa umeondoka, pengo lako halizibiki kamwe. utatuacha wapweke, tutakukumbuka daima, ulikuwa mtu wa watu, hukuwa na maringo wala majivuno, hukuwa na majibu ya hovyo japokuwa kuna wakati ulikuwa na hasira ila ulijua namna ya kuzidhibiti. Tutakupenda daima.

20932948-hand-drawn-cartoon-crying-with-a-broken-heart-on-sticky-notes-Stock-Vector.jpg

1651378939-b7efb53a1a334f32630ab2f51ccce1da.jpg
 
Nina uhakika sky atarudi baada ya kununua simu nyingine, hata Miss naniliu aliwahi kutuaga lakini kwa sasa tupo nae humu.

Msichukulie serious, natania tuuuuu.
 
Unaenda wapi tena ndugu, mchango wako bado tunauhitaji sana humu.
 
Hahhahahaha kuomdoka humu huwezi..sema unabadili ID
 
Back
Top Bottom