Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nakupendaga Shosti..don't go! Nani kakuudhi tumshughulikie?Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
.
.
Please come back with another ID. Wewe ni jembe bwana huwezi kudisappear hivi hivi.