Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

Mkuu tochi utaendelea kupiga tu. Pesa utakayokusanya saa 12 mpaka saa 11 jioni itakutosha wala usiwe na wasiwasi
hahaaaaaa mzee wa tochi huyu, majuzi nilikuwa Kigoma nikakuta baadhi ya barabara wameweka CCTV camera badala ya hiyo mitochi yao....
 
hahaaaaaa mzee wa tochi huyu, majuzi nilikuwa Kigoma nikakuta baadhi ya barabara wameweka CCTV camera badala ya hiyo mitochi yao....
Wanadhani watu wakiruhusiwa kutembea usiku watakosa wateja. Alichosahau wateja ambao watapungua ni wa mabasi tu. Na hao wa mabasi wengi wao miamala wanapeleka kwa wakubwa (kununua njia)..
 
Hivi inakuwaje mtu na akili zako kabisa unapanda Bus mfano from Kigoma au Bukoba to Dar halafu uwe huna siti?
Mimi kutoka Sinza to Kariakoo siwezi kusimama, nasubiri gari iliyo na siti empty nikae.
 
Back
Top Bottom