Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

Tujiandae na kulia sana
Ajali nyingi mchana Usiku itakuwaje
Wakati wa kuwekewa mawe barabarani/Kitonga ni nyakati za Usiku
Watakaoteseka ni wamama wazee na watoto
Hii nchi inazidi kurudi nyuma…

Utakua unalala sana

Unajua kwa siku zinatoka coaster ngapi Usiku kwenda mikoani?

Umesikia wapi hayo uliyoyataja hapo?
 
Unapopishana na lori usiku mwenye gari ndogo punguza sana mwendo na unatakiwa utanue bara bara hasa kwa wale wanaojihami kwa kuwasha hadi zile taa za juu...madereva wa malori hata mchana wanalala nimeona ajali ya Arusha exp hapo Dodoma bus lilifatwa upande wake..

Hayo yote nafahamu mkuu ila jamaa walikuwa wanakimbizana wote wako sambamba wakajaa barabara ikabidi niteremke mtaroni tu vinginevyo ingekuwa breaking news
 
Kuna mambo ambayo hatupaswi kuyajadili sasa.wenzetu walishaacha kulala muda mrefu ila sisi giza likishaingia wote tunalala.Alafu tunajiona wajanja kumbe tunapalilia umaskini wetu wenyewe.Nchi ikiwa busy maeneo yote usiku na mchana ata yale maeneo ya wakora wataondoka wenyewe.Lakini pia serikali itabadilisha namna yake yakutengeneza barabara zake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli mkuu nami huwashangaa sana watu wa hivi. Na ikitokea mtu wa hivi akapewa madaraka na fursa ya kufanya maamuzi basi ujue mtarudi kwenye ujima, they don't like changes and always they think of negativity.
Na watu namna hiyo ndio wanaowekaga masheria magumu yasiyo na faida zaidi ya kukwamisha mambo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Viongozi acheni kutoa matamko ambayo baadae yataleta majuto makubwa kwa taifa.

Mabasi kusafiri usiku hayakuanza leo wala Jana.
Tangu miaka ya zamani basi yote yalikuwa yanasafiri masaa 24/7.

Je nini kilipelekea mabasi kukatazwa kutembea usiku?
--1.. Ajali zilikuwa nyingi sababu uzembe wa usiku ni mkubwa sn Kwa madereva barabarani.
-- 1..Usalama wa abiria na Mali zao kwenye baadhi ya mikoa.

Je kabla ya kuruhusu hilo la kutembea usiku kucha serikali imejipangaje kudhibiti hilo?
Wakati trafick police saa 6 o'clock hawapo barabarani?

Hivi kama mchana ambapo dereva anaona vizuri kabisa anasababisha ajali,
Hivi usiku itakuwaje?

Inchi ya hovyo sn hii..
Acha akili za zamani.Unadhani nchi itaacha kua ya hovyo lini kwa mawazo kama ya kwako yakuogopa giza.Changamoto zilizopo zinatakiwa zitatuliwe sio tuzikwepe.Nchi za waafrika wenzetu wanaweza ila sisi bongo lala ndo tunaona ni shida jambo dogo kama hilo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo ambayo hatupaswi kuyajadili sasa.wenzetu walishaacha kulala muda mrefu ila sisi giza likishaingia wote tunalala.Alafu tunajiona wajanja kumbe tunapalilia umaskini wetu wenyewe.Nchi ikiwa busy maeneo yote usiku na mchana ata yale maeneo ya wakora wataondoka wenyewe.Lakini pia serikali itabadilisha namna yake yakutengeneza barabara zake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umesema vyema sana sana, sasa Hivi asset kubwa ni Muda (time), sisi saa 12 tunalala kama kuku
 
Namshukuru sana Spika Tulia kwa kuibua tena jambo hili.
1. Nashauri mabasi yaruhusiwe kuondoka wakati wowote ufaao badaa ya kulazimishwa kuondoka Dar alfajiri (saa 12).
Kwa mfano.
Mabasi yanayokwenda mikoani yakiruhusiwa kuondoka saa 6 mchana yatafika Kahama alfajiri ambapo yataendelea na safari yake.
2. Kusafiri usiku kutapunguza gharama za wasafiri.
Hivi sasa ili kuwahi stendi ya Magufuli kupanda mabasi ya alfajiri inabidi ama kulala nyumba ya wageni au kutumia usafiri wa gharama kubwa kwa kuwa ni usiku.
Safari zikianza mchana au jioni zitatuondolea adha hii.
3. Muda mwingi unapotea kwa kusubiri.
Kila ukifika usiku mabasi yanaegeshwa.
Kwa kanda ya ziwa ni Kahama.
Abiria wanatumia gharama kwa kulala safarini.
Baadhi ya abiria ni wagonjwa wanaokwenda kwenye matibabu au misiba
Hawa wanacheleweshwa.
Mabasi yakitoka Singida jioni yatafika Dar alfajiri ambapo abiria mfanya biashara ataingia kwenye manunuzi kisha jioni/usiku atapanda basi kurejea alikotoka.
Hakuna.muda wa kupotea.
4. Muda wa matengenezo utakuwapo wa kutosha.
Baadhi ya mabasi ya mikoani kama yaendayo Mbeya na Kahama yanafika usiku na alfajiri yanarudi Dar.
Matengenezo yanakuwa hafifu kwa kuwa gereji nyingi zinakuwa zimefungwa.

Hata hivyo ni LAZIMA jeshi la polisi lijiandae vema kwa ajili ya kuhakikisha usalama.wa.abiria.

Nadhani ni vema LATRA iondokane na utaratibu wa sasa wa kuondoa mabasi vituoni kwa wakati mmoja kama vile ni mashindano ya mbio kwenye riadha.

Nashauri mabasi yaanze safari kwa muda tofauti.

Asante sana Spika Tulia Ackson kwa kuchagiza hili.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Sasa hivi nchi mzima mabasi ya masafa marefu yanapakia zaidi ya level seat (yanasimamisha abiria). Nchi hii imerogwa na nani?
 
Acha akili za zamani.Unadhani nchi itaacha kua ya hovyo lini kwa mawazo kama ya kwako yakuogopa giza.Changamoto zilizopo zinatakiwa zitatuliwe sio tuzikwepe.Nchi za waafrika wenzetu wanaweza ila sisi bongo lala ndo tunaona ni shida jambo dogo kama hilo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mnachokitafuta mtakipata !! Ni suala la muda tuu!?? Ruhuduni muone
 
Namshukuru sana Spika Tulia kwa kuibua tena jambo hili.
1. Nashauri mabasi yaruhusiwe kuondoka wakati wowote ufaao badaa ya kulazimishwa kuondoka Dar alfajiri (saa 12).
Kwa mfano.
Mabasi yanayokwenda mikoani yakiruhusiwa kuondoka saa 6 mchana yatafika Kahama alfajiri ambapo yataendelea na safari yake.
2. Kusafiri usiku kutapunguza gharama za wasafiri.
Hivi sasa ili kuwahi stendi ya Magufuli kupanda mabasi ya alfajiri inabidi ama kulala nyumba ya wageni au kutumia usafiri wa gharama kubwa kwa kuwa ni usiku.
Safari zikianza mchana au jioni zitatuondolea adha hii.
3. Muda mwingi unapotea kwa kusubiri.
Kila ukifika usiku mabasi yanaegeshwa.
Kwa kanda ya ziwa ni Kahama.
Abiria wanatumia gharama kwa kulala safarini.
Baadhi ya abiria ni wagonjwa wanaokwenda kwenye matibabu au misiba
Hawa wanacheleweshwa.
Mabasi yakitoka Singida jioni yatafika Dar alfajiri ambapo abiria mfanya biashara ataingia kwenye manunuzi kisha jioni/usiku atapanda basi kurejea alikotoka.
Hakuna.muda wa kupotea.
4. Muda wa matengenezo utakuwapo wa kutosha.
Baadhi ya mabasi ya mikoani kama yaendayo Mbeya na Kahama yanafika usiku na alfajiri yanarudi Dar.
Matengenezo yanakuwa hafifu kwa kuwa gereji nyingi zinakuwa zimefungwa.

Hata hivyo ni LAZIMA jeshi la polisi lijiandae vema kwa ajili ya kuhakikisha usalama.wa.abiria.

Nadhani ni vema LATRA iondokane na utaratibu wa sasa wa kuondoa mabasi vituoni kwa wakati mmoja kama vile ni mashindano ya mbio kwenye riadha.

Nashauri mabasi yaanze safari kwa muda tofauti.

Asante sana Spika Tulia Ackson kwa kuchagiza hili.

Mungu ibariki Tanzania.
Watanzania husahau haraka kama kuku wa kienyeji!! Ruhusuni majibu mtayapata
 
Sijui nikujibu
Jibu tuu ila Kwa ninachokiona uck!! Mungu anajua,Kwa kifupi sisi hatuna madereva wastaarabu ungekuwa unasafiri usiku ungeona!! Hawa madereva wengi wanalewa,wanakula mirungi,wanasinzia ,wanachochora !!! Hawajali matumizi ya full lights!! Mwendo ndo usiseme ,hasa hawa wa malori na fuso!! Yan watawasababishia ajali wenye mabasi!! Hiyo ajali pichani niliiona nilisikitika Sana !! Ulikuwa ni uzembe wa dereva wa fuso!! Na alikuwa amelewa chakarii!!
Acheni mzaha na maisha ya watu!!
IMG-20230205-WA0003.jpg
 
Unampongeza au unakubaliana nae ?, Kwani yeye ndio amevumbua au amekuwa wa Kwanza kuleta issue za kusafiri usiku ?

Yaani kusifia na kupongezana dhama hizi ishakuwa involuntary action kama vile kupiga chafya
 
Hahahahahaa sometimes usome ukae kwa kutulia
 
Sasa hivi nchi mzima mabasi ya masafa marefu yanapakia zaidi ya level seat (yanasimamisha abiria). Nchi hii imerogwa na nani?
Hivi inakuwaje mtu na akili zako kabisa unapanda Bus mfano from Kigoma au Bukoba to Dar halafu uwe huna siti?? Kweli hii inaingia akilini? Hata serikali hapo mtailaumu bure tuu ikitokea ajiali.
 
Watanzania husahau haraka kama kuku wa kienyeji!! Ruhusuni majibu mtayapata
Kwa hiyo watanzania wana tofauti gani na majirani zao ambao Buses zinasafiri masaa 24?? Hakuna kitu cha kipuuzi kama kuogopa changes. Yaani kabisa kabisa unasimama na kuwaambia watu wasisafiri usiku wakati miaka ya 1980 - 1990 ,tena wakati barabara zikiwa mbaya sana na maeneo mengi yakiwa mapori, mabasi yalikuwa yanasafiri usiku?? Yaani badala ya kupiga hatua mbele tunarudi nyuma daah...
 
Back
Top Bottom