Mburia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2022 Posts 2,369 Reaction score 3,488 Apr 5, 2023 #181 FisadiKuu said: Mkuu tochi utaendelea kupiga tu. Pesa utakayokusanya saa 12 mpaka saa 11 jioni itakutosha wala usiwe na wasiwasi Click to expand... hahaaaaaa mzee wa tochi huyu, majuzi nilikuwa Kigoma nikakuta baadhi ya barabara wameweka CCTV camera badala ya hiyo mitochi yao....
FisadiKuu said: Mkuu tochi utaendelea kupiga tu. Pesa utakayokusanya saa 12 mpaka saa 11 jioni itakutosha wala usiwe na wasiwasi Click to expand... hahaaaaaa mzee wa tochi huyu, majuzi nilikuwa Kigoma nikakuta baadhi ya barabara wameweka CCTV camera badala ya hiyo mitochi yao....
FisadiKuu JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 8,169 Reaction score 13,455 Apr 5, 2023 #182 Ikoko said: hahaaaaaa mzee wa tochi huyu, majuzi nilikuwa Kigoma nikakuta baadhi ya barabara wameweka CCTV camera badala ya hiyo mitochi yao.... Click to expand... Wanadhani watu wakiruhusiwa kutembea usiku watakosa wateja. Alichosahau wateja ambao watapungua ni wa mabasi tu. Na hao wa mabasi wengi wao miamala wanapeleka kwa wakubwa (kununua njia)..
Ikoko said: hahaaaaaa mzee wa tochi huyu, majuzi nilikuwa Kigoma nikakuta baadhi ya barabara wameweka CCTV camera badala ya hiyo mitochi yao.... Click to expand... Wanadhani watu wakiruhusiwa kutembea usiku watakosa wateja. Alichosahau wateja ambao watapungua ni wa mabasi tu. Na hao wa mabasi wengi wao miamala wanapeleka kwa wakubwa (kununua njia)..
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Apr 5, 2023 #183 Ikoko said: Hivi inakuwaje mtu na akili zako kabisa unapanda Bus mfano from Kigoma au Bukoba to Dar halafu uwe huna siti? Click to expand... Mimi kutoka Sinza to Kariakoo siwezi kusimama, nasubiri gari iliyo na siti empty nikae.
Ikoko said: Hivi inakuwaje mtu na akili zako kabisa unapanda Bus mfano from Kigoma au Bukoba to Dar halafu uwe huna siti? Click to expand... Mimi kutoka Sinza to Kariakoo siwezi kusimama, nasubiri gari iliyo na siti empty nikae.