Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Kwahiyo kuna pande inadai mpira ni haram na kuna pande wanadai mpira sio haram
Waislam Wana uzushi mwingi kwenye dini yao ambao QUR'AN Wala haikusema,wapo wanaodai kunyoa ndevu,kuvaa suruali/nguo ndefu kuvuka enka ni upotofu na motoni moja kwa moja,wakati Quran haijasema hilo
 
3_19.gif

Qur'an 3:19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
 
Waislam Wana uzushi mwingi kwenye dini yao ambao QUR'AN Wala haikusema,wapo wanaodai kunyoa ndevu,kuvaa suruali/nguo ndefu kuvuka enka ni upotofu na motoni moja kwa moja,wakati Quran haijasema hilo
Naamini kabisa wanaozifanya hizi dini zionekane mara ushoga mara ugaidi ni viongozi wa dini kupotosha baadhi ya maneno labda kwa manufaa yao...nakumbuka siku moja nilipanda gari ya ya mizigo kutoka dodoma naelekea mtwara baada ya muda wale jamaa ambao ni dereva na utingo wake ambao ni warangi wakaweka mahubiri ya roggo yale yanayodai wakristo wauawe popote pale na huku anadai vijana wa kenya waislamu waende Somalia kupigana jihadi kiukweli nilibishana nao sana wao wakawa wanadai wasio waislamu inabidi wauawe bila huruma,,,nikajua viongozi wa dini baadhi wanapotosha hizi imani
 
3_19.gif

Qur'an 3:19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Waliopewa kitabu walikuwa dini gani? Na walikuwa wanaswali wapi?
 
Back
Top Bottom