kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Zingine zote ni biashara tu.
Astakafulu asalamaleko Walai.....!
Wengine woooooote Motoni....!
Mnajuaje kujihesabia haki nyie watu.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Zingine zote ni biashara tu.
Waislam Wana uzushi mwingi kwenye dini yao ambao QUR'AN Wala haikusema,wapo wanaodai kunyoa ndevu,kuvaa suruali/nguo ndefu kuvuka enka ni upotofu na motoni moja kwa moja,wakati Quran haijasema hiloKwahiyo kuna pande inadai mpira ni haram na kuna pande wanadai mpira sio haram
Huwezi kuabudu fundi seremala halafu utegemee pepo,we poteza tu mudaAstakafulu asalamaleko Walai.....!
Wengine woooooote Motoni....!
Mnajuaje kujihesabia haki.?
Lete ayaDini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Zingine zote ni biashara tu.
Aiseeeee!!mimi naamini wanaloga na hawataki Jina la Yesu litajwe, kwasababu Jina la Yesu likitajwa tu majini na uchawi huwa vinaisha nguvu.
Lete aya
Mbona wewe hukwenda kusemea kwenye hilo jukwaa la dini??Kama hauelewi dini ni nini haina haja ya kukuelekeza hapa, kafunguwe mjadala jukwaa la dini.
Mimi sijauliza swali la "nini dini". Nafahamu dini ni moja tu. Uislam.Mbona wewe hukwenda kusemea kwenye hilo jukwaa la dini??
Maagizo toka dariniAndiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
Umemaliza majini na ukristo havikai pamoja ndugu hayo mambo ya majini Yana wenyewe na wala hawajifichi.Majini wapi nawapi na Ukristo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Naipenda yanga hata iabudu mashetani sawa tu [emoji172][emoji169]
Kama Membe vile aliyesema hata msaada ukitoka kwa shetani tutaupokea tu kwa sababu sisi ni masikini 🤣Naipenda yanga hata iabudu mashetani sawa tu 💚💛
Bwamdogo uko timamu kichwani? Nimetoa rejea ya maneno ya kishki na mazingeNikuulize wewe uliyesema kuwa uislamu umekuja kuwavuruga waislamu
Naamini kabisa wanaozifanya hizi dini zionekane mara ushoga mara ugaidi ni viongozi wa dini kupotosha baadhi ya maneno labda kwa manufaa yao...nakumbuka siku moja nilipanda gari ya ya mizigo kutoka dodoma naelekea mtwara baada ya muda wale jamaa ambao ni dereva na utingo wake ambao ni warangi wakaweka mahubiri ya roggo yale yanayodai wakristo wauawe popote pale na huku anadai vijana wa kenya waislamu waende Somalia kupigana jihadi kiukweli nilibishana nao sana wao wakawa wanadai wasio waislamu inabidi wauawe bila huruma,,,nikajua viongozi wa dini baadhi wanapotosha hizi imaniWaislam Wana uzushi mwingi kwenye dini yao ambao QUR'AN Wala haikusema,wapo wanaodai kunyoa ndevu,kuvaa suruali/nguo ndefu kuvuka enka ni upotofu na motoni moja kwa moja,wakati Quran haijasema hilo
Waliopewa kitabu walikuwa dini gani? Na walikuwa wanaswali wapi?![]()
Qur'an 3:19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Umefahamishwa na kufahamu vibaya kimakosa, dini ziko nyingi sana dunia hii.Mimi sijauliza swali la "nini dini". Nafahamu dini ni moja tu. Uislam.
Wewe hata dini huelewi ni nini.Umefahamishwa na kufahamu vibaya kimakosa, dini ziko nyingi sana dunia hii.
WaislamWaliopewa kitabu walikuwa dini gani? Na walikuwa wanaswali wapi?
😆😆😆😆Waliopewa kitabu walikuwa dini gani? Na walikuwa wanaswali wapi?