Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Mkiwa mnakaribia kuoa muwe mnaomba ushauri kwa malegend hapa tupo,ndoa nzuri ndoa ni ya baraka watoto ni wa baraka sisime Mungu kanipendelea sanaa lahasha bali kanipa uwezo wa kuona jema na baya chapu,muombe Mungu awafungulie yalio jificha kabla ya kumwaga wino ktk agano la milele na hayo yote yanawezekana kwa yeye atutiae nguvu Yesu mwana wa Mungu
 
Umepiga spaner kwa maneno ya busara sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…