Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Safi kabisa mkuu,ila dunia inazunguka kwa kasi sana ,zamani mwanamke awe binti awe mtu mzima ulikua ukimshika tako tu hata kwa matani uuo ugomvi sio mdogo, ila siku hizi banah wanacheka eti😀😀
Sasa wakiwa wakali unafikiri hela ya kununua iphone itapatikana vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…