Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 20, 2024 #21 Huwa wanapuuzia... Cc: Mahondaw
kishumbaz JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,183 Reaction score 1,619 Jul 20, 2024 #22 GENTAMYCINE said: Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa. Click to expand... Samahani mkuu! Wewe ni mwanasheria? Kama siyo, huna vigezo vya kumkosoa mwanasheria, na kama ndiyo nenda ka battle naye mahakamani ukimshinda uje hapa tukupongeze na siyo hizi blaa blaa!
GENTAMYCINE said: Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa. Click to expand... Samahani mkuu! Wewe ni mwanasheria? Kama siyo, huna vigezo vya kumkosoa mwanasheria, na kama ndiyo nenda ka battle naye mahakamani ukimshinda uje hapa tukupongeze na siyo hizi blaa blaa!