Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa.
Samahani mkuu! Wewe ni mwanasheria?
Kama siyo, huna vigezo vya kumkosoa mwanasheria, na kama ndiyo nenda ka battle naye mahakamani ukimshinda uje hapa tukupongeze na siyo hizi blaa blaa!
 
Back
Top Bottom