Kwako Godbless Lema: Kutana na Lisu kujua kama kweli Lisu alimtuma kusema aliyosema

Kwako Godbless Lema: Kutana na Lisu kujua kama kweli Lisu alimtuma kusema aliyosema

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tafuta any means kutembelea Lisu kupata ukweli wa alichokisema Lisu!
Inaonekana Kisabo anataka kuleta ushenzi!
Tafuta any means kujua ukweli wa Lisu!
 
Tafuta any means kutembelea Lisu kupata ukweli wa alichokisema Lisu!
Inaonekana Kisabo anataka kuleta ushenzi!
Tafuta any means kujua ukweli wa Lisu!
Hisia zangu zinasema kuwa atakatazwa. Kwa kinachoendlea sasa hivi sidhani kama watakubali atoe ujumbe wowote. Labda atumie njia za panya kama anaweza. Nilimsikia Heche akisema viongozi wa CHADEMA wanapotaka kumtembelea wanakatazwa kumwona. Pia nahisi hakuna atakayeruhusiwa kumwona mpaka ''upotoro'' wa Chande usomwe, na siku hiyo yule mama atajifanya kutoa hotuba ya ''the way foward'' na atarudia-rudia kusema kuwa Lissu ameomba atolewe ili wafanye maridhiano na yeye ''ameamua kumsamehe''.
 
Back
Top Bottom