Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
hihihihihihihi...nimeona sosolisoha ha ha.. umeona eeh Kipaji Halisi..
anti niko pouwa kabisa....hihihihihihihahahahahaaaaaaaaaa haya bana...ni aje chalii yangu?!?!?
anti niko pouwa kabisa....hihihihihihi
ankal anakusalimia sana...hihihihihihihiankal anaendeleaje........teheteheteheeee?
ankal anakusalimia sana...hihihihihihihi
hihihihihihihihi..akiwa na muda nitakuja naye...ila anasema kila akija unampotezea ..anaamua kukaa pembeni mwenyeweathanteeeeee.....utakuja naye ijumaa walau nimtie machoni na nipeane naye mkono jamani!
thijamuona thiku nyiiingiiiiiiiii hihihihihihihiihiiiiiiii
hihihihihihihihi..akiwa na muda nitakuja naye...ila anasema kila akija unampotezea ..anaamua kukaa pembeni mwenyewe
...hahahahahahahaa...nitamwambia..akipigwa na sosoliso asije sema mie nimemuuzahaaaaa jamaniiii.......mwambie don'woree! safari hii ntamuweka kati!!!:high5:
View attachment 87294
View attachment 87295
View attachment 87297
Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..
Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro ukiwa na Bujibuji.. Mie siziamini hata kidogo.. Najua wengi hawapendi kutuona tukiwa kwenye mahabati ya nguvu.. Nimekufungulia na kampuni ya ulinzi ambayo unaimiliki kwa asilimia 100..
ni hayo tu mpenzi..
Ni mie wako nikupendae daima..
NB: Baba V ukiwa kama mwenyekiti wa mahusiano ninaomba ulinzi wako..
cc: saudari.. Bujibuji.. Bishanga.. Arushaone.. mpwa Elli..
unamuona mwenzio eeh manoah.. naona ananitafuta nilipoamkia..
Kapalampya nilivyokuwa ninapigwa vita.. nicingetimiza naona wangezidi kumnyong'onyesha mtoto watu...ahadi ni deni bora umetimiza ulichokiahidi