Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kupendwa raha we acha tu.
 
Last edited by a moderator:

ilike mandolini more than discover II..
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji.. hapo kwenye red unamaanisha moyo wangu mie.. Ninashukuru kwa kunipongeza.. Nampenda sana Paloma.. ninashangaa mpaka sasa hivi Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano Baba V hajanipa baraka zake.. Au sijui kuna konfliti ofu interesti hapa..

jiamini ya habibi, tamba ringa uwezavyo...mimi milki yako! whether Baba V ametia baraka or not!
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba kazi ya udereva kwenye hilo gari lako Paloma. Nitakuendesha kwa usalama na hakika utafurahia huduma yangu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba kazi ya udereva kwenye hilo gari lako Paloma. Nitakuendesha kwa usalama na hakika utafurahia huduma yangu.


sitaki Arushaone! dereva wangu nampenda sana, ananiendesha mpaka nafika bila matatizo! analijulia gari lake, anajua wapi kwa kuongeza maji au oil! wapi atie breki vipi apandishe mlima na kushuka...mradi salama nafika!
wewe hulijuliii gari hili......hutanifikisha niendako! Sorreee
 
Last edited by a moderator:
...aiseee....
 
wewe saudari na biashara yenu ya unga hiyo hamumtishi mtu.. Chimbuvu naomba uwaite watu wa TRA.. mwingine huyu ana utajiri usiokuwa na vyanzo..

Tena nakuomba ukae mbali na Paloma, kama hutasikia ninavyokuambia yatakayokukuta usije ukalalama.
Copy to Elli.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…