Kwako Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro: Ajali imefunga mawasiliano kati ya Arusha na Kilimanjaro, saidia kufungua barabara maana Askari wako wamelala

Kwako Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro: Ajali imefunga mawasiliano kati ya Arusha na Kilimanjaro, saidia kufungua barabara maana Askari wako wamelala

MAranatha7

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2023
Posts
267
Reaction score
536
Kumetokea ajali ya lori la futi 40 katikati ya daraja kubwa na hatari la mto Kikafu tangu saa 4 usiku, raia wamejitolea kuleta winch ndogo na kufanikiwa kutoa kichwa cha lori lkn kontena limebaki barabarani na kufunga barabara 75%.

Magari toka Kenya, Manyara na Arusha yamekwama na yanayouokea Dar, Moro, Tanga na Kilimanjaro nayo hayawezi kwenda Arusha na foleni ni xaidi ya kilomita 20.

Kuna upenyo wa magari madogo kupita lakini wameruhusu gari 5 tu za misiba kupita na gari zingine zimekwama.

RTO amekosa grenda na jenereta la kulata kontena.

Hawataki kudimamia gari ndogo nazo zipite.

Kazi kwako
 
20231203_055529.jpg
 
Poleni sana, ndio ubaya wa kuwa na barabara moja na finyu. Natumaini RTO yuko eneo la tukio, kama hajafika ni aibu
 
Back
Top Bottom