Kweli aliewaloga kafaHilo Jina lenyewe la huyo unayejifanya kumtetea haulijui hata kuliandika, halafu unajifanya ujuaji.
beware brother, wapo wengi tu elite.. sitakupa uthibitisho ila nakupa kauli huru tu.. ujasusi Tanzania wanajitahidi sana, hii miaka mi5 ya magufuli ilikua migumu sana kwao, na inayokuja ni migumu zaidi..Tanzania hatuna majasusi labda ungeniambia mijusi.