Daah, yametimiaShida DC bado kijana mdogo mwezie ana kinga yeye hana after another 5years lazima wampeleke kwa pilato. Yetu macho
Kwani kitu gani kilichotokea kikafanya asiwe hai mkuu?Duh , Mwendazake alikua si mtu wa kusikiliza maoni, aliwahi kumwambia Yusufu Makamba kua ushAuri wake ni wa kupumbavu. Laiti angekua anasikiliza ushauri pengine angekua hai.
Nakumbuka wakati anaingia madarakani watu walikua wanampenda sana , lakini kiburi na kuendekeza watu wa jamii ya Makonda na Sabaya ndo vikafanya watu wamchukie
Watu mliona mbali aiseeAkili za Sabaya na Magufuli we unaona zina tofauti gani?
Duuh mkuu heshima kwakoSabaya = Magufuli.
Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.
Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.
Kumbe hii ishu ya pacemaker mlilijua ila wengine hatukulijuaSabaya = Magufuli.
Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.
Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.
Heshima kwako mkuu, hii ndio JFShida DC bado kijana mdogo mwezie ana kinga yeye hana after another 5years lazima wampeleke kwa pilato. Yetu macho
Yametimia mkuuHicho cheo ndio kinampa Sabaya kiburi ila siku akikipoteza na ubabe wake utazikwa rasmi.
Sabaya = Magufuli.
Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.
Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.
wafukua makabuli.
Sikio la kufa?...
Hatimaye wananchi wa wilaya ya hai wamepata amani...Yametimia mkuu
Nyie mnakula hela za bure hapo lumumba,lakini hakuna mnalojua wala kusaidia zaidi ya ushabiki mavi tu, naona sasa mtakuwa mmejifunza, Ila kwa aibu lazima mjibalaguzeHilo Jina lenyewe la huyo unayejifanya kumtetea haulijui hata kuliandika, halafu unajifanya ujuaji.
Hii ilinenwa October 28/2020 na baada ya miezi 6 yote yametimia.Sabaya = Magufuli.
Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.
Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.