Kwako Mzee wangu Magufuli: Vijana kama Ole Sabaya watakuponza usipochukua hatua za haraka

Kwako Mzee wangu Magufuli: Vijana kama Ole Sabaya watakuponza usipochukua hatua za haraka

Wauaji wote walikuwa wanatembea vijana toka taasisi nyeti ili wawalinde, ukichunguza sana utagundua vijana waliokuwa wanatembea na sabaya, makonda , n.k na wengineo watoto pendwa akina kunambi ni vijana toka kwenye taasis yetu nyeti. Isipokuwa wengine hawakuwa wanafanyakazi katika katakana ya shetan
 
Wauaji wote walikuwa wanatembea vijana toka taasisi nyeti ili wawalinde, ukichunguza sana utagundua vijana waliokuwa wanatembea na sabaya, makonda , n.k na wengineo watoto pendwa akina kunambi ni vijana toka kwenye taasis yetu nyeti. Isipokuwa wengine hawakuwa wanafanyakazi katika katakana ya shetan
Mkuu, maovu yote yaliofanyika kwemye utawala wa SA5, Taasisi nyeti haiwezi kukwepa LAWAMA.

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Sabaya = Magufuli.

Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.

Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.
introvert wewe ni NABII!! Yeye kishasepeshwa maisha na Mungu na Sabaya ndiyo huyo gereza la Kisongo
 
Sabaya = Magufuli.

Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.

Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.
introvert wewe ni NABII!! Yeye kishasepeshwa maisha na Mungu na Sabaya ndiyo huyo gereza la Kisongo
Shida DC bado kijana mdogo mwezie ana kinga yeye hana after another 5years lazima wampeleke kwa pilato. Yetu macho
UPOPO na wewe mtu hatari sana kwa unabii.
 
Sabaya = Magufuli.

Sema mmoja hana hata miaka 40 mwingine ana pacemaker.

Ni suala la muda tu. Yeye na wahuni wake watajuta.
Kaka introvert ulikuwa na hii toka mwaka jana,ila mwaka huu yametimia,swala la pacemaker ulilijua,ukawaonya Lumumba buku Saba ila kwa kiburi Chao hawakutikisa,Hongera sana braza
 
Mzee wangu, nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo na Amani iwe nawe huko uliko.

Mimi ni kijana wako mdogo sana ambaye sistahili hata kushika gidamu ya viatu vyako wewe uliye mkuu wa nchi kubwa kama hii ya Tanzania. Huwa napingana na wewe kwenye mambo mengi sana na nakurushia vijembe lakini binafsi sipendi kuona nchi yetu ikiingia kwenye matatizo: Hasahasa kuona wewe mzee wetu ukiingia kwenye matatizo.

Binafsi naamini Raisi ni alama kubwa ya umoja wa kitaifa, hivyo nawiwa sana kusema kile ambacho kipo ndani ya moyo wangu. Naamini umezungukwa na wataalamu wengi sana ambao wana upeo mkubwa kunizidi mimi, lakini mimi niliyeko nje ya mfumo naomba nitoe maoni yangu kwasababu huenda walioko jirani nawe wakawa wanaogopa kukwambia huu ukweli.

KILICHOTOKEA JANA KULE JIMBONI HAI KWA MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE
Nifahamuvyo mimi matumizi yoyote mabaya ya alama (Emblems, Signs) za Umoja wa Mataifa au Shirika la Msalaba Mwekundu bila ruhusa ni kosa la kimataifa. Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba mwekundu wamepewa kinga maalumu inayowawezesha wao kufanya kazi popote duniani na kwenye mazingira yoyote yale bila kubugudhiwa: Kinga hii inawagusa hata wanapokuwa kwenye eneo lenye mgogoro au vita.

Wazungu siku wakiwabana wanaweza kusema hivi: Matumizi mabaya ya hizi alama kama ambavyo yanafanywa na shirika letu la kijasusi (TISS) yanaweza kuhatarisha usalama wa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliopo nchini endapo machafuko yatatokea. Kisheria hili liko chini ya International Customary Law lakini pia Mkataba wa Usalama wa Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa (The Convention of the Safety of United Nations Personnel of 1994) chini ya Ibara ya 3 unakataza kabisa matumizi yoyote ya alama za Umoja wa Mataifa. Naomba ninikuu hicho kipengele hapa chini:

"The military and police components of a United Nations operation and their vehicles, vessels and aircraft shall bear distinctive identification. Other personnel, vehicles, vessels and aircraft involved in the United Nations operation shall be appropriately identified unless otherwise decided by the Secretary-General of the United Nations."


Tanzania tumesaini huu mkataba, kitendo ambacho kimefanywa na huyu ndugu Ole Sabaya na Idara yetu ya Ujasusi vimevunja Ibara ya 3 ya huu mkataba. Kinachosikitisha ni kwamba mnafahamu kwamba Tanzania yetu imetegewa mtego na hawa mabeberu, lakini bila hata kufikiria watawala wetu wanaingia kichwa-kichwa. TISS, POLICE, JWTZ na CCM ni vyombo vikubwa hapa Tanzania, siyo duniani: Sisi bado ni taifa changa ambalo ndiyo limeanza kuota manyoya hivyo tumuombe Mungu atupe hekima ya kutenda kwa hekima katika kipindi hiki.

Mwaka 2008 serikali ya Columbia iliingia kwenye matatizo baada ya jeshi lake la Polisi kutumia vibaya alama za shirika la msalaba mwekundu ili kufanya oparesheni ya kuokoa watu waliotekwa na kikundi cha wanamgambo wa FARC. Walikemewa vikali na walipona kwasababu walichokifanya kilikuwa ni kuokoa uhai wa watu, lakini kwa jinsi ambavyo mabeberu wanamchukia Raisi wa hii nchi, hichi kitendo cha Ole Sabaya ni silaha ya bure kabisa mliyowapa kuwapigia siku za mbeleni.

Mwaka 2018 niliwahi kuandika kuhusu Paul Makonda kwamba Raisi asipoangalia basi anaweza kufanya kitu ambacho kinaweza kuingiza nchi nzima kwenye matatizo. Lakini bahati mbaya sana aliyefanya hilo jambo ambalo nilitegemea Paul Makonda angelifanya ni bwana Ole Sabaya: Pitia hapa usome mwenyewe. Balozi wa Umoja wa Mataifa kasema jambo limefika Polisi, na hapa wanachofanya ni kukutega waone utachukua hatua gani dhidi ya ndugu Ole Sabaya kisha wapate jambo la kusema.

Please Be Vigilant, and don't take the Bait! Wamekutegea mtego, tafadhali usinase.
Tunakushauri kwasababu tunataka ufanikiwe na nchi yetu ifanikiwe.
Karma ishawamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yametimia leo day 2 katika miaka 30 yake bado kesi zingine 5....majalada 4 bado yapo DPP mwaka huu huyo shetwani mtoto atajinyonga....sasa ndio anajifanya kumuachia Mungu alie kazini na bado lazima alipe uovu wote....bado Matako ya Taifa
 
Back
Top Bottom