Fast Forward
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 575
- 768
Tupo kwenye wakati mgumu kuliko watu wadhaniavyo
Duuh! pole sanaMkuu maelezo yote bado hujaweka bayana kipi hasa kilicjofaywa
Crimes Against Humanity depend on a pattern of abuse commissioned against the civilian population as a result of government policy. Kiufupi ni kwamba kama vitendo vya mauaji, utekaji na utesaji vimekuwa vikifanywa kwa muda mrefu nchini Tanzania na hakuna hatua zozote stahiki zimechukuliwa kuwadhibiti hawa watekaji, wauaji na watesaji, basi katika ufupi kabisa tutasema kwamba yanaribiwa na vyombo vya dola na kupewa baraka toka.Malcom asante sana kwa somo zuri.
Naomba kujua je mpaka sasa kwa mauwaji haya yaliyotokea na vipigo pamoja na unyanyasaji uliotokea ktk kipindi hiki cha awamu ya tano na uchaguzi je yameshafika criteria ya kuitwa Crimes against humanity? Je nyie wataalam crimes against humanity ni mpaka wafe watu wangapi ndio iwe hivyo.?
Je nani anastahili kuishtaki serikali mahakama the hegue?
Wakuu nilitabiri au ndo karma!Mkuu siasa si uadui.
Wengine, hasa viongozi vijana, wanafikiri hivyo.
Tunasubiri wapate fundisho kama la Mwamwindi.
Huyu kijana DC wa Hai naona analiita hilo zoezi kwa nguvu.
Mungu akatende muujiza [emoji3][emoji137]Wakuu nilitabiri au ndo karma!
Inasemekana hali tete..Kwanini hii leo imeibuka sn?
Vipi kwani tayari?Ngoma ikivuma sana Mwisho wake hupasuka. Mwisho wako mbaya unakaribia wewe Sabaya
Kaka wa taifa toka asubuh naona anaweka nyimbo ile... ila hata kama iwe sio kweli viongozi wajitathmini sana... yaaani watu wanasubiria kifo chako kwa hamu..jua unatendea watu uovu usiomithilika.Huyo siyo wa kuombea mema
Muda si mrefu...Vipi kwani tayari?
5 years inaanza sasaShida DC bado kijana mdogo mwezie ana kinga yeye hana after another 5years lazima wampeleke kwa pilato. Yetu macho