Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

kasamehe madeni ya magari waliokuwa wanadaiwa na tra kafuta road lincence ya gari kapunguza bei kodi ya majengo na kuwa elfu 10 na gorofa elfu 50 hapo zamani tulilipa laki na zaidi kwenye luku kaleta bei elfu 27 kupata luku kaondo service charge unaponunua luku mbona mambo mengi kafanya kama ni uchunguzi tuanze na awamu ya 2 mzee ruksa tuchunguze na awamu 3 mkapa na awamu ya 4 tuchunguze tena tulete cig kutoks nje ya nchi
 
Hatutaki orodha tinataka hesabu🏃.
leteni kwanza hesabu ya zilipoenda hela za kujenga ofisi pale ufipa alizotoa sabodo

hahaaa mnacheza na gaidi mbowe kala zooooooooooooteeeeeeeee
 
Kweli uongo una mwisho na wengine wakasema njia ya muongo ni fupi......tulikuwa tunaaaminishwa kuwa ni hela zetu wenyewe,ndo maana tunasema hizi alizokopa alizitumia kwa matumizi yapi !!!!!au nikwamba wamezifisadi

Hesabu ziwekwe hadharani
 
Magufuli kama alikopa ni miradi alifanya tena ya maana,watz tunataka viongozi Wapiga deal ati ndio ujanja.
Now wanajidai wasafi huku hakuna kitu.
Wakiendelea na kumtusi Magu wajue wanaandaa mazingira ya kuwapa upinzani ushindi.
Kumtukana JPM ni njia ya kupata kibali Cha teuzi kwa Hangaya.
Aliyofanya Magufuli hata vijijini wanayaona umeme,Zahaati kila Kona
Akija kibwengo kwa cheo Cha Mbunge,haiingii akilini.
Ila anajaribu kulipa kisasi baada ya kudukuliwa sauti yake ya kumuhujumu JPM.

Wewe kaa vizuri tu na mzee wa Msoga,mama atakuteua tu,endelea kujikomba huko.
Huoni wenzio akina Mwigulu, January wameshaula?

Achana na JPM Sana Sana utapata laana tu,kumchokonoa marehemu aliyerisk uhai kwa ajili ya watu wake.

Wewe ni mchumia tumbo tunakujua toka zamani.
 
RAIS MAGUFULI ANABAKI KUWA RAIS BORA.

ALIKUWA MWANAUME WA SHOKA.

ALIKUWA KIONGOZI KWENYE SAUTI YA KIMAMLAKA.

ALIKUWA NI RAIS ALIYEKUWA AKITAMKA JAMBO TANZANIA INATIKISIKA.

WATU WALOKUWA WANAJIFANYA WAJUAJI KANA KINA NAPE,MEMBE,JANUARY AND THE LIKES WALIKIMBIA NA KUJIFICHA VICHAKANI KAMA NYOKA.

KAONDOKA WANAIBUKA KAMA NYOKA PANGONI NA KUROPOKA ROPOKA TU.

MUMUACHE RAIS WETU TULIEMPENDA SANA APUMZIKE LA SIVYO TUTAWASHUGHULIKA .
 
HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.

Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua mabadiliko makubwa ya kimaendeleo, ukitoka Kibaha kuja Mbezi hadi Kimara utaona kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, utajua kweli Serikali ya Rais Magufuli ilifanya kazi, kwako Nape pokea salaaam.

Awamu ya tano ilivyoingia Madarakani tuliona utendaji huu,

-Ujenzi wa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (udsm).

-Ujenzi wa Hostel za Askari Magereza.

-Ununuzi wa Ndege 11 (Nyingine 5 ziko mbioni kuja).

-Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo,

-Upanuzi wa Airport Mwanza,Bukoba,Mbeya,Songea,Dodoma na Musoma.

-Upanuzi barabara ya Moroco DSM, Mwanza na Arusha.

-Upanuzi wa Kisasa Airport Dar ,terminal 3.

-Kusimamia misingi ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.

-Ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme (Standard Gauge)

-Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba.

-Ujenzi wa kota za Magomeni.

-Ununuzi na Ujenzi wa Rada Mpya 5 tano za kuongozea ndege katika anga lote la Tanzania.

-Elimu bure na Mafunzo ya kujitegemea katika Veta na Jkt kwa wahitimu wa Elimu ya Sekondari.

-Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

-Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

-Miradi Mikubwa ya Maji,Ujenzi wa Matenki makubwa Dar es Salaam na mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria kuja Tabora hadi Dodoma.

-Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Jijini Tanga,Tanzania.

-Usimamizi wa Mazao Mfano Korosho,Pamba,Katani,Alizeti,kahawa,Chai,Maharage,Kilimo cha Mpunga na kutafuta masoko nje ya Nchi kwa ajili ya kupata fedha za kigeni kuinua uchumi wetu.

-Kuboresha Sekta ya Utalii kwa kununua ndege kurahisisha usafiri wa Watalii toka Mabara yote kuja Tanzania.

-Usimamizi wa Mapato ya Mali asili zetu,mfano Madini ya Dhahabu, Tanzanite na Almasi.

-Ukusanyaji Mapato baada ya kuziba nianya ya ufisadi na wizi wa mapato na mali ya Umma.

-Kujenga Utaifa na Uzalendo.

-Ujenzi wa Bwawa la Umeme katika Mto Rufiji "Stigglers Gorge".

Kwa hakika katika awamu ya 5,Serikali ya CCM iliyoongozwa na Rais Magufuli imeifanya CCM kuwa Mpya katika utendaji wa kasi na wa uhakika pasipo porojo wala propaganda, Mwenye macho anaona utendaji katika sekta mbali mbali kuijenga Tanzania Mpya ambayo itakwenda kuwa Baba la Uchumi barani Africa.

@KWAKO NAPE UMEONA MKOPO ALIOKULA JPM!?#[emoji3]
Umekula bange mbichi au kavu?
 
Magufuli atabaki kuwa litmust test ya wanasiasa wote nchini - kuwajua ni wanasiasa gani wa maana na ni wanasiasa gani mbuzi. Nape ni mbuzi tu kama mbuzi wengine. Huku mtaani kama unataka kuonekana kituko mseme vibaya Magufuli.
 
Nape hana shukrani.

Alibebwa ubunge na Magufuli!
 
RAIS MAGUFULI ANABAKI KUWA RAIS BORA.

ALIKUWA MWANAUME WA SHOKA.

ALIKUWA KIONGOZI KWENYE SAUTI YA KIMAMLAKA.

ALIKUWA NI RAIS ALIYEKUWA AKITAMKA JAMBO TANZANIA INATIKISIKA.

WATU WALOKUWA WANAJIFANYA WAJUAJI KANA KINA NAPE,MEMBE,JANUARY AND THE LIKES WALIKIMBIA NA KUJIFICHA VICHAKANI KAMA NYOKA.

KAONDOKA WANAIBUKA KAMA NYOKA PANGONI NA KUROPOKA ROPOKA TU.

MUMUACHE RAIS WETU TULIEMPENDA SANA APUMZIKE LA SIVYO TUTAWASHUGHULIKA .
Mlimpenda na nani ?!. Kumpenda kusinyamazishe walikuwa na dukuduku naye juu ya uadilifu wake.
 
HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.

Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua mabadiliko makubwa ya kimaendeleo, ukitoka Kibaha kuja Mbezi hadi Kimara utaona kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, utajua kweli Serikali ya Rais Magufuli ilifanya kazi, kwako Nape pokea salaaam.

Awamu ya tano ilivyoingia Madarakani tuliona utendaji huu,

-Ujenzi wa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (udsm).

-Ujenzi wa Hostel za Askari Magereza.

-Ununuzi wa Ndege 11 (Nyingine 5 ziko mbioni kuja).

-Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo,

-Upanuzi wa Airport Mwanza,Bukoba,Mbeya,Songea,Dodoma na Musoma.

-Upanuzi barabara ya Moroco DSM, Mwanza na Arusha.

-Upanuzi wa Kisasa Airport Dar ,terminal 3.

-Kusimamia misingi ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.

-Ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme (Standard Gauge)

-Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba.

-Ujenzi wa kota za Magomeni.

-Ununuzi na Ujenzi wa Rada Mpya 5 tano za kuongozea ndege katika anga lote la Tanzania.

-Elimu bure na Mafunzo ya kujitegemea katika Veta na Jkt kwa wahitimu wa Elimu ya Sekondari.

-Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

-Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

-Miradi Mikubwa ya Maji,Ujenzi wa Matenki makubwa Dar es Salaam na mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria kuja Tabora hadi Dodoma.

-Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Jijini Tanga,Tanzania.

-Usimamizi wa Mazao Mfano Korosho,Pamba,Katani,Alizeti,kahawa,Chai,Maharage,Kilimo cha Mpunga na kutafuta masoko nje ya Nchi kwa ajili ya kupata fedha za kigeni kuinua uchumi wetu.

-Kuboresha Sekta ya Utalii kwa kununua ndege kurahisisha usafiri wa Watalii toka Mabara yote kuja Tanzania.

-Usimamizi wa Mapato ya Mali asili zetu,mfano Madini ya Dhahabu, Tanzanite na Almasi.

-Ukusanyaji Mapato baada ya kuziba nianya ya ufisadi na wizi wa mapato na mali ya Umma.

-Kujenga Utaifa na Uzalendo.

-Ujenzi wa Bwawa la Umeme katika Mto Rufiji "Stigglers Gorge".

Kwa hakika katika awamu ya 5,Serikali ya CCM iliyoongozwa na Rais Magufuli imeifanya CCM kuwa Mpya katika utendaji wa kasi na wa uhakika pasipo porojo wala propaganda, Mwenye macho anaona utendaji katika sekta mbali mbali kuijenga Tanzania Mpya ambayo itakwenda kuwa Baba la Uchumi barani Africa.

@KWAKO NAPE UMEONA MKOPO ALIOKULA JPM!?#[emoji3]
Hakuna kitu hapo miradi mingi sana ilikuwa ya awamu ya mh Kikwete.

Wacha kuwadanganya watanzania.
 
Mbona hujazungumzia 1.5trillion?
 
Back
Top Bottom