Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

Usisahau na kupigwa kwa 1.5trillion
 
Umefafanua vizuri sana na vingi umesahau kuandika. Hela imetumika ipasavyo na miradi inaonekana
 
Magufuli kama alikopa ni miradi alifanya tena ya maana,watz tunataka viongozi Wapiga deal ati ndio ujanja.
Now wanajidai wasafi huku hakuna kitu.
Wakiendelea na kumtusi Magu wajue wanaandaa mazingira ya kuwapa upinzani ushindi.
Wacha kutisha watu nyinyi wapigaji wakubwa na sasa tunaanza kuyaona kupitia kwa makada wenzenu wa ccm.
 
Magufuli kama alikopa ni miradi alifanya tena ya maana,watz tunataka viongozi Wapiga deal ati ndio ujanja.
Now wanajidai wasafi huku hakuna kitu.
Wakiendelea na kumtusi Magu wajue wanaandaa mazingira ya kuwapa upinzani ushindi.
Nakumbuka mwaka 2015, watu walikuwa wanazomewa na kwengine kudharirishwa kwa namna nyingine kisa tu mtu kavaa shati la ccm, ilikuwa vigumu sana kupita mitaani na vazi la ccm,

Pale kariakoo watu walikuwa wanalinganisha na mawe, yaani linawekwa jina na upande mwingine jiwe watu wanapigia jiwe, Leo kawarudisha kwenye nafasi na jamii imeona wanamwona hafai kwa vile tu alibinya njia zao,
 
Nape ni mwizi kama wengine wa awamu ya nne.
Kama anabisha aombe tupewe ripoti ya kamati ya ukusanyaji na uhakiki wa mali za chama iliyosimamiwa na Bashiru,ili tuone madudu yake.
 
Toa ujinga wako kijana
 
Wakiuliza mikataba ya madini mnadai tunafukuza wawekezaji,
Jana nilisikia kiongozi fulani anasema aliamua kufukuza machinga barabarani sababu walimkwapua simu mzungu mmoja, nikajiuliza wananchi wangapi wanakwapulia simu huku vichochoroni kwetu na hakuna kuimafisha ulinzi wala kuweka miundo mbinu sawa ila mzungu mmoja aliguswa nchi ikatikiswa.

Thats my Africa and in deed Tanzania my country.

Hata tunapokufa tunakufa na hasira na machungu sana mioyoni ndio maana matetemeko hayaishi kutikisa ardhi
 
Yule Magu Alikua Jiwe Bana. Ni Sawa na mdingi fulani mkali, hataki mchezo na Familia Yake. Mtoto ukizingua unakula mbata za maana. Kama binadamu Kuna mahali alizingua, but unaona kabisa yule dingilai alikua na Nia nzuri na nchi.

Akina Nape na mburura wenzake wanaturudisha kwenye akili za wahasibu wezi. Wahasibu wezi Bana ukimpa Mil 5, anaweza kufanya kazi ya Mil 1.2 ila akakuandikia hesabu ya 5M na deni juu na ukakosa pa kuhoji!

Magu is in sand now, tupambane na Hawa nzi wa kijani walobaki wanaotaka kujificha kwa mgongo wa Magu!!!!
 
Unamtetea jambazi Magufuli!
 
Magufuli kama alikopa ni miradi alifanya tena ya maana,watz tunataka viongozi Wapiga deal ati ndio ujanja.
Now wanajidai wasafi huku hakuna kitu.
Wakiendelea na kumtusi Magu wajue wanaandaa mazingira ya kuwapa upinzani ushindi.
Lakini si alituambia nchi hii ni tajiri, kwanini alikopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…