Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

Yah right. Hizo hela xinalingana na pesa za bajeti na mikopo aliyokopa. Anachotaka Nape wachunguze zimetumikaje.

Bado yu nakumbuka zile 1.5 Trillion ambazo mpaka leo hatujui zilitumikaje. Maana Jamaa pesa zilimzidi mpaka akawa anagawa mabutungutu kwenye majukwaa.
 
Wazee wa Legasi nawaona
 


[VALUE FOR MONEY IS IMPORTANT].
 
SUKUMA GANG....DAH KWELI MUNGU MKUBWA MANAKE MWANAMME ALIKUWA MMOJA TU NCHI NZIMA....ASANTE MUNGU KWA KUTENDA
 
leteni kwanza hesabu ya zilipoenda hela za kujenga ofisi pale ufipa alizotoa sabodo

hahaaa mnacheza na gaidi mbowe kala zooooooooooooteeeeeeeee
Mawazo ya iboyaa, sasa tuko kitaifa zaidi, hatipo kichama🏃.
 
Leo niongee ukweli toka moyoni kuwa huyu magufuli nilimchukia Sana ndani ya miaka yake 5 hasa swala la kutoongeza mishahara watumishi, kufuta annual increment , kutopandisha madaraja watumishi.
Zaidi niseme tu nilimkosea Sana huyu mzeee baada ya kuzunguka Tanzania kwa mwez mmoja ivi aisee mzee kaibadirisha Sana nchi yetu.
Mzee aliamua kutumia ubabe ili tumchukie alafu baadae tuje tumuelewe Nini alikuwa anakitaka kwa nchi tajiri Kama tz .

Ingawa approach yake haikuwa nzur Ila magufuli ametundea haki kwa muda mchache Sana ,sipat picha angekaa madarakan miaka hata 20 sijui hii inchi ingefananaje kwa maendeleo ,Maana angekuwa hai najua fika tu asingekubal kutoka madarakan et kisa katiba ,hapa tungeenda na mwendo Kama wa Paul kagame ,Cha Moto tungekiona Ila future ya watoto wetu ingekuwa mahali salama.

Narudia Tena hakuna mtu alikuwa anamchukia magu ,hata kumsikiliza tu nilikuwa naona jau Ila very sorry saiz ndio nimemuelewa baada ya kujionea kwa macho yangu.

Note: msihangaike na nape yule Ana kisilan Cha kutolewa kwenye teuz na kibaya Zaid alijiaminisha kuwa hawez guswa.
 
Shida ya Nape ni kwamba mtu wenu anasema akikuwa hakopii...

Kima ww..
 
Ss tunataka hesabu na zile hela nyingi sana zilizokopw enz hz zimeenda wap?
 
Alizungua mahali gani kama binadamu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…