Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

Mkopaji alikuwa huyo huyo. Akitaka kuonyesha kuwa yeye alikuwa gwiji kuliko hata Nyerere. Nia Mifano mingine.

Alikuwa mwongo sana huyu jamaa.
Kwahiyo na lile swala la mikataba ya Barrick ilikua movie mzee baba?kwamba Kabudi alituongopea nae? Yani alivowanyanyasa vile wale wakubwa then aende kwao kuomba mkopo na wampe kwa jinsi alivowatenda?
 
Kweli uongo una mwisho na wengine wakasema njia ya muongo ni fupi......tulikuwa tunaaaminishwa kuwa ni hela zetu wenyewe,ndo maana tunasema hizi alizokopa alizitumia kwa matumizi yapi !!!!!au nikwamba wamezifisadi

Hesabu ziwekwe hadharani
Angalia kiasi cha mkopo wa nje ukilinganisha na bajeti yote kwa mwaka 2020/2021

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Marehemu lilikuwa jizi kubwa huku likitumia pesa kubwa kujitangaza na kujisifia kwa wajinga kama wewe
 
Kwahiyo na lile swala la mikataba ya Barrick ilikua movie mzee baba?kwamba Kabudi alituongopea nae? Yani alivowanyanyasa vile wale wakubwa then aende kwao kuomba mkopo na wampe kwa jinsi alivowatenda?

Hii nchi imechezewa sana!
 
Oooh kumbe alikopa! Hazikuwa fedha za ndani tena!!
Hebu muache bla bla nyingi tupatieni mahesabu ya fedha za mikopo na zile mlizokuwa mnasema kila mwezi TRA wamevuka malengo ya kukusanya kodi.
 
Jamani situliambiwa hayo yote tunafanya kwa fedha za ndani? Ama mikopo nayo inahesabika Kama fedha za ndani? Ebu nielimisheni hapo
Fedha za nje zilikuwa ndogo sana ukilinganisha za ndani, fedha za ndani zilikuwa zaidi ya asilimia 90 ya fedha zote zilizokuwa zinakusanywa kila mwaka?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Nape apitie uzi huu ....atajua hajui...
Mtu kama Nape amelifanyia nini Taifa la Tanzania mpaka asimame na kumsema JPM...
Nape ajue historia itamkumbuka JPM....
Apuuzwe tu.
 
Oooh kumbe alikopa! Hazikuwa fedha za ndani tena!!
Hebu muache bla bla nyingi tupatieni mahesabu ya fedha za mikopo na zile mlizokuwa mnasema kila mwezi TRA wamevuka malengo ya kukusanya kodi.
Alimopa ili kukava Tozo za mitandaoni, kuondoa umeme wa mgao, kuondoa maji ya mgao, ili watu wa chini tusihamie Burundi..
 
Kujenga utaifa na uzalendo??

Alitumia gharama gani kujenga the so called uzalendo watu walifanya kazi 6 years without promotion yoyote?

Tupe hundi ambayo JPM wako alitoa pesa yake mfukoni kujenga hata 1 km ya Tarmac road!

Stupid indeed NKT!
 
Magufuli atabaki kuwa litmust test ya wanasiasa wote nchini - kuwajua ni wanasiasa gani wa maana na ni wanasiasa gani mbuzi. Nape ni mbuzi tu kama mbuzi wengine. Huku mtaani kama unataka kuonekana kituko mseme vibaya Magufuli.
Jiwe huyo huyo anayechukiwa na kila mtu
 
Alimopa ili kukava Tozo za mitandaoni, kuondoa umeme wa mgao, kuondoa maji ya mgao, ili watu wa chini tusihamie Burundi..
Mbona hakusema kama anakopa!! Na mbona umeme ulikuwa unakatika viziri tu, na nyie watu wa chini wala hamkupanda mkabakia kuwa wa chizi zaidi!!
 
Watuambie na riba ya mikopo yote ya nje ya awamu zilizotangulia kabla ya Magufuli ili tujue kiasi cha mkopo kilichoongezeka kutokana na riba tuziweke kwenye jumla yote ya mkopo wa JK kurudi nyuma naamini ongezeko la deni la nje limeongezeka zaidi kutokana na riba za madeni ya watangulizi

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Sio watuambie tu kwa mdomo!! Watoe data kwa umma, kwan wakienda kopa huwa wanaongea tu kwa mdomo!!
Hizi habar za kwamba Magu alikopa, watoe exact data na sio maneno tu
 
pamoja na yote haya,sisi tunataka tufanye mahesabu tujue senti zetu zilizobaki zipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…