Tressa
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 954
- 1,043
Yapo mengi amefanya na fedha za ndani,msiwe watu lawama.Lakini si alituambia nchi hii ni tajiri, kwanini alikopa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo mengi amefanya na fedha za ndani,msiwe watu lawama.Lakini si alituambia nchi hii ni tajiri, kwanini alikopa?
Sio lawama lazima tuhoji kwasababu ni pesa zetu, Wewe endelea kushukuru tu kwasababu unajua pesa ni za serikaliYapo mengi amefanya na fedha za ndani,msiwe watu lawama.
Endelea kuhoji ukipewa majibu na sisi tujuze!!Sio lawama lazima tuhoji kwasababu ni pesa zetu, Wewe endelea kushukuru tu kwasababu unajua pesa ni za serikali
Kwa hiyo hata kukomesha wezi na kufukuza vyeti feki nako tulitumia mkopo ?HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.
Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua mabadiliko makubwa ya kimaendeleo, ukitoka Kibaha kuja Mbezi hadi Kimara utaona kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, utajua kweli Serikali ya Rais Magufuli ilifanya kazi, kwako Nape pokea salaaam.
Awamu ya tano ilivyoingia Madarakani tuliona utendaji huu,
-Ujenzi wa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (udsm).
-Ujenzi wa Hostel za Askari Magereza.
-Ununuzi wa Ndege 11 (Nyingine 5 ziko mbioni kuja).
-Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo,
-Upanuzi wa Airport Mwanza,Bukoba,Mbeya,Songea,Dodoma na Musoma.
-Upanuzi barabara ya Moroco DSM, Mwanza na Arusha.
-Upanuzi wa Kisasa Airport Dar ,terminal 3.
-Kusimamia misingi ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
-Ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme (Standard Gauge)
-Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba.
-Ujenzi wa kota za Magomeni.
-Ununuzi na Ujenzi wa Rada Mpya 5 tano za kuongozea ndege katika anga lote la Tanzania.
-Elimu bure na Mafunzo ya kujitegemea katika Veta na Jkt kwa wahitimu wa Elimu ya Sekondari.
-Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
-Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
-Miradi Mikubwa ya Maji,Ujenzi wa Matenki makubwa Dar es Salaam na mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria kuja Tabora hadi Dodoma.
-Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Jijini Tanga,Tanzania.
-Usimamizi wa Mazao Mfano Korosho,Pamba,Katani,Alizeti,kahawa,Chai,Maharage,Kilimo cha Mpunga na kutafuta masoko nje ya Nchi kwa ajili ya kupata fedha za kigeni kuinua uchumi wetu.
-Kuboresha Sekta ya Utalii kwa kununua ndege kurahisisha usafiri wa Watalii toka Mabara yote kuja Tanzania.
-Usimamizi wa Mapato ya Mali asili zetu,mfano Madini ya Dhahabu, Tanzanite na Almasi.
-Ukusanyaji Mapato baada ya kuziba nianya ya ufisadi na wizi wa mapato na mali ya Umma.
-Kujenga Utaifa na Uzalendo.
-Ujenzi wa Bwawa la Umeme katika Mto Rufiji "Stigglers Gorge".
Kwa hakika katika awamu ya 5,Serikali ya CCM iliyoongozwa na Rais Magufuli imeifanya CCM kuwa Mpya katika utendaji wa kasi na wa uhakika pasipo porojo wala propaganda, Mwenye macho anaona utendaji katika sekta mbali mbali kuijenga Tanzania Mpya ambayo itakwenda kuwa Baba la Uchumi barani Africa.
@KWAKO NAPE UMEONA MKOPO ALIOKULA JPM!?#[emoji3]
Yaani watu wanasahau haraka sana,but muda ni mwalimu mzuri.Nakumbuka mwaka 2015, watu walikuwa wanazomewa na kwengine kudharirishwa kwa namna nyingine kisa tu mtu kavaa shati la ccm, ilikuwa vigumu sana kupita mitaani na vazi la ccm,
Pale kariakoo watu walikuwa wanalinganisha na mawe, yaani linawekwa jina na upande mwingine jiwe watu wanapigia jiwe, Leo kawarudisha kwenye nafasi na jamii imeona wanamwona hafai kwa vile tu alibinya njia zao,
Endelea kufuatilia hapahapaEndelea kuhoji ukipewa majibu na sisi tujuze!!
Hizo alama unazosema wanaziona wajinga tu,HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.
Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua mabadiliko makubwa ya kimaendeleo, ukitoka Kibaha kuja Mbezi hadi Kimara utaona kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, utajua kweli Serikali ya Rais Magufuli ilifanya kazi, kwako Nape pokea salaaam.
Awamu ya tano ilivyoingia Madarakani tuliona utendaji huu,
-Ujenzi wa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (udsm).
-Ujenzi wa Hostel za Askari Magereza.
-Ununuzi wa Ndege 11 (Nyingine 5 ziko mbioni kuja).
-Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo,
-Upanuzi wa Airport Mwanza,Bukoba,Mbeya,Songea,Dodoma na Musoma.
-Upanuzi barabara ya Moroco DSM, Mwanza na Arusha.
-Upanuzi wa Kisasa Airport Dar ,terminal 3.
-Kusimamia misingi ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
-Ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme (Standard Gauge)
-Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba.
-Ujenzi wa kota za Magomeni.
-Ununuzi na Ujenzi wa Rada Mpya 5 tano za kuongozea ndege katika anga lote la Tanzania.
-Elimu bure na Mafunzo ya kujitegemea katika Veta na Jkt kwa wahitimu wa Elimu ya Sekondari.
-Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
-Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
-Miradi Mikubwa ya Maji,Ujenzi wa Matenki makubwa Dar es Salaam na mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria kuja Tabora hadi Dodoma.
-Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Jijini Tanga,Tanzania.
-Usimamizi wa Mazao Mfano Korosho,Pamba,Katani,Alizeti,kahawa,Chai,Maharage,Kilimo cha Mpunga na kutafuta masoko nje ya Nchi kwa ajili ya kupata fedha za kigeni kuinua uchumi wetu.
-Kuboresha Sekta ya Utalii kwa kununua ndege kurahisisha usafiri wa Watalii toka Mabara yote kuja Tanzania.
-Usimamizi wa Mapato ya Mali asili zetu,mfano Madini ya Dhahabu, Tanzanite na Almasi.
-Ukusanyaji Mapato baada ya kuziba nianya ya ufisadi na wizi wa mapato na mali ya Umma.
-Kujenga Utaifa na Uzalendo.
-Ujenzi wa Bwawa la Umeme katika Mto Rufiji "Stigglers Gorge".
Kwa hakika katika awamu ya 5,Serikali ya CCM iliyoongozwa na Rais Magufuli imeifanya CCM kuwa Mpya katika utendaji wa kasi na wa uhakika pasipo porojo wala propaganda, Mwenye macho anaona utendaji katika sekta mbali mbali kuijenga Tanzania Mpya ambayo itakwenda kuwa Baba la Uchumi barani Africa.
@KWAKO NAPE UMEONA MKOPO ALIOKULA JPM!?#[emoji3]
Miradi hujaiona?tena ya pesa nyingi.Sio lawama lazima tuhoji kwasababu ni pesa zetu, Wewe endelea kushukuru tu kwasababu unajua pesa ni za serikali
Kuongezea;HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.

Unafiki mbaya jamaniWacha kutisha watu nyinyi wapigaji wakubwa na sasa tunaanza kuyaona kupitia kwa makada wenzenu wa ccm.
Kwa hela hii ya mkopo aliyokula Magufuli nipo tayari kukatwa kwenye mshahara wangu ili kuirudisha. Nipewe tu utaratibu wa kufuata.HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.
Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua mabadiliko makubwa ya kimaendeleo, ukitoka Kibaha kuja Mbezi hadi Kimara utaona kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, utajua kweli Serikali ya Rais Magufuli ilifanya kazi, kwako Nape pokea salaaam.
Awamu ya tano ilivyoingia Madarakani tuliona utendaji huu,
-Ujenzi wa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (udsm).
-Ujenzi wa Hostel za Askari Magereza.
-Ununuzi wa Ndege 11 (Nyingine 5 ziko mbioni kuja).
-Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo,
-Upanuzi wa Airport Mwanza,Bukoba,Mbeya,Songea,Dodoma na Musoma.
-Upanuzi barabara ya Moroco DSM, Mwanza na Arusha.
-Upanuzi wa Kisasa Airport Dar ,terminal 3.
-Kusimamia misingi ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
-Ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme (Standard Gauge)
-Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba.
-Ujenzi wa kota za Magomeni.
-Ununuzi na Ujenzi wa Rada Mpya 5 tano za kuongozea ndege katika anga lote la Tanzania.
-Elimu bure na Mafunzo ya kujitegemea katika Veta na Jkt kwa wahitimu wa Elimu ya Sekondari.
-Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
-Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
-Miradi Mikubwa ya Maji,Ujenzi wa Matenki makubwa Dar es Salaam na mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria kuja Tabora hadi Dodoma.
-Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Jijini Tanga,Tanzania.
-Usimamizi wa Mazao Mfano Korosho,Pamba,Katani,Alizeti,kahawa,Chai,Maharage,Kilimo cha Mpunga na kutafuta masoko nje ya Nchi kwa ajili ya kupata fedha za kigeni kuinua uchumi wetu.
-Kuboresha Sekta ya Utalii kwa kununua ndege kurahisisha usafiri wa Watalii toka Mabara yote kuja Tanzania.
-Usimamizi wa Mapato ya Mali asili zetu,mfano Madini ya Dhahabu, Tanzanite na Almasi.
-Ukusanyaji Mapato baada ya kuziba nianya ya ufisadi na wizi wa mapato na mali ya Umma.
-Kujenga Utaifa na Uzalendo.
-Ujenzi wa Bwawa la Umeme katika Mto Rufiji "Stigglers Gorge".
Kwa hakika katika awamu ya 5,Serikali ya CCM iliyoongozwa na Rais Magufuli imeifanya CCM kuwa Mpya katika utendaji wa kasi na wa uhakika pasipo porojo wala propaganda, Mwenye macho anaona utendaji katika sekta mbali mbali kuijenga Tanzania Mpya ambayo itakwenda kuwa Baba la Uchumi barani Africa.
@KWAKO NAPE UMEONA MKOPO ALIOKULA JPM!?#😀
Acha porojo na upotoshaji, hiyo siyo maana ya fedha za ndani.Ni fedha za ndani kwasababu tukikopa tunalipa hatupewi misaada.
Binafsi nasikia ukakasi .kama hao wezi wanadhani JPM ni rank Yao watumie huo utoporo kwenye campaign ndo wayanua mbivu na mbich dadekiMagufuli kama alikopa ni miradi alifanya tena ya maana,watz tunataka viongozi Wapiga deal ati ndio ujanja.
Now wanajidai wasafi huku hakuna kitu.
Wakiendelea na kumtusi Magu wajue wanaandaa mazingira ya kuwapa upinzani ushindi.
We binti una mdomo sana, subiri uote matiti uone nitakavyo kusalangua mbwa wee!dada angu ni rais
Hahahaaa dah!Kumtukana JPM ya kupata kibali Cha teuzi kwa Hangaya.
Aliyofanya Magufuli hata vijijini wanayaona umeme,Zahaati kila Kona
Akija kibwengo kwa cheo Cha Mbunge,haiingii akilini.
Ila anajaribu kulipa kisasi baada ya kudukuliwa sauti yake ya kumuhujumu JPM.
Wewe kaa vizuri tu na mzee wa Msoga,mama atakuteua tu,endelea kujikomba huko.
Huoni wenzio akina Mwigulu, January wameshaula?
Achana na JPM Sana Sana utapata laana tu,kumchokonoa marehemu aliyerisk uhai kwa ajili ya watu wake.
Wewe ni mchumia tumbo tunakujua toka
Haya ndio maneno , anakuja na basket list kama anaenda sokoni.Hatutaki orodha tinataka hesabu🏃.
Na sitokaa niipende kamwe ccm.Unafiki mbaya jamani
Sasa asiekujua humu wewe ni upinzani kindaki ndaki nani!
Wewe ndio Wale mnaofurahia kwa wenzenu kuungue ili mpate mtakacho.
Hujawahi kuipenda ccm.