Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

Kulikuwa na ugumu gani kuwaeleza watz kwamba tunakopa pesa na mgawanyo wake ukoje?Badala yake tukajiita matajiri hatutaki pesa za mabeberu kumbe tunanuka madeni,leo marehemu anaumbuka kwa uongo halafu mnamtetea ili iweje
 
Nimeshaaona kitu hata nape anjiona mjanja kwa sasa lakini kama sio nguvu ya magufuli kuna wabunge nakuhakikshia wansingefika hapo waliopo .leo ndo wako mstari wa mbele kumdhalilisha hayati magufuli .tuone kama 2025 watapanua tena mdomo
Huyu magu hakua na laziada kwa binadamu wengine zaidi ya cheo na mavazi labda,nape hakurudi bungeni kwa kwa ubabe wa magu,hayo kawafariji kina gwajima hao ndio wanufaika wa ubabe wa marehemu,
 
Kulikuwa na ugumu gani kuwaeleza watz kwamba tunakopa pesa na mgawanyo wake ukoje?Badala yake tukajiita matajiri hatutaki pesa za mabeberu kumbe tunanuka madeni,leo marehemu anaumbuka kwa uongo halafu mnamtetea ili iweje
Tunataka proof kuwa alikopa!! Sio maneno, watoe na nyaraka hizo za mikopo!!
Isiwe wanaongea kumchafua kisa wanabif nae, kila mwananchi anaelewa wazi kuwa wakina nape wanabiff na Magu, waonyesha document za hiyo mikopo na nan alienda huko kukopa!!
 
Miradi hujaiona?tena ya pesa nyingi.
Acheni kumchafua hayati pasipo sababu.
Usitake kila mtu afanane na wewe, wewe uliyeamua kusifia sifia tu hakuna wa kukuzuia na yule aliyeamua kuhoji mwache ahoji kwasababu ana akili za kuhoji, nawewe unazo za kusifia
 
Kilichotokea ni hivi. Zile triolioni ngapi sijui zilitumika kujenga umene vijijini, hospitali, airports, vyuo vikuu, lami nk sehemu moja tu ya Tanzania. Moshi kuna universities 5, referral hospirals 3, airports 5 pua na mdomo (ongeza Embakasi na Jomo Kenyatta kilometa150). Nenda kwa Waziri Mkuu Majaliwa, au kwa Magufuli, kwa Nape, kwa Heche - watu wengi tu, eneo kubwa sana, hawana airport, hawanac referral hospital, hwana umeme vijijini. Hujataja Tabora na Kigoma na Ruguma na Kagera. Ndiyo maana wenziyo hawalalamaki maji au hospitali, tayari wanavyo. Sasa wanataka Katiba Mpya iwape serkali ya majimbo wajitawale Kikabila.
 
Hesabu hazina maneno,
Wekeni account kila mtu aone uzalendo wake
 
Nia nzuri na nchi ambayo siyo yake!!???
Kweli mmelishwa unga wa ndele.
 
Tupewe mahesabu ya hela zote zilizowahi kukopwa na matumizi yake tangu tupate Uhuru. Itatusaidia sana kuliko kufanya nitpicking ya kipindi kimoja tu.
Tunataka Value of money ionekane.

Mleta post ni akili ndogo sana

Hakuna blaah blaah hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…