Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu fikiria nyumba yako na familia yako ipo Manzese katikati na umeikinga kwa namna zote lakini ukaja moto ukashika nyumba zote zilizo jirani na wewe je mtapona? ni mfano ambao unaendana na Herd Immunity katika jamii
Mimi sina sababu ya kumfariji mtu wala kumshambulia bali naeleza uhalisi kwamba corona ni janga duniani ila kama wewe unaona hilo janga limesababishwa na uzembe basi ni sawa sina tatizo na wewe usione kwamba nataka kuitoa Tz kwenye lawama za uzembe,hapa siwezi kufanya hivyo maana kiujumla kila nchi ilifanya uzembe na Tanzania ni moja wapo hivyo haiwezi kuepuka lawama za uzembe.Dah kazi kweli kweli. Aliimba bwana mmoja "tuko tofauti". Mwisho wa kumnukuu.
Ila ambaye:
1. Hakuzuia ndege tokea kulikokuwa na waathirika wa ugonjwa huu,
2. Hakuwaweka quarantine wageni wote wakiwamo wale wa kutokea China kwa angalau siku 14 kabla ya kuwaruhusu kuingia nchini,
3. Hakufunga mipaka
4. Nk nk,
Hakufanya hadi ugonjwa wa hatari kama huu ukaingia nchini.
Endeleeni kumfariji.
Ila waathirika sisi hatuna maneno mazuri kwake kwa balaa alilotuletea na analoendelea kulilea likiendelea kusambaa kizembe uzembe namna hii.
Aunt punguza hasira,endelea kumuunga mkono mwana Ufipa mwenzio Askofu Niwemugizi maana alichokiamua Jimboni Lulenge ilikuwa ni katika kupingana na Rais Magufuli ktk kuliombea Taifa, ni hivyo tu.
Mbaka ndiyo pandemic gani?Hivi mbaka sasa hiv, wameshakufa wangapi? Hapa Tz
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizi za vitambaa ni bora ukafua kila siku unayotumia, kama ni mtu wa kutoka kila siku unaweza kuwa nazo angalau 5 au 7 za kubadilisha ili kuondoa usumbufu wa kufua kila maraNaomba kuulizà swali hizi barakoa zinavaliwa kwa muda gani haraf unazifua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Niwemugizi ndio amesababisha ASKOFU GETRUDE RWAKS anguko??Aunt punguza hasira,endelea kumuunga mkono mwana Ufipa mwenzio Askofu Niwemugizi maana alichokiamua Jimboni Lulenge ilikuwa ni katika kupingana na Rais Magufuli ktk kuliombea Taifa, ni hivyo tu.
Mbaka ndiyo pandemic gani?
Sio bure mnarogwa nyie.Hehe Chadema mnafurahisha kweli
Mara Hatutaki lockdown mara Tunataka lockdown
Ndio maana hakuna anayewasikiliza maana hamueleweki mnataka nini
Angalau Mungu alisikia maombi yako mleta uzi kuwa Korona Virusi viingie Tanzania.
Mungu hakatai maombi yetu.
Amka kutoka usingizini. Ulikesha unaleta maombi janga hili liingie nchini. Sasa umefurahi? Bavicha mna utoto sana. Siasa mpaka kwenye magonjwa.Hakuna mtanzania yeyote timamu anayetaka lockdown, Watanzania wanataka uwajibikike kama Rais wao, Watanzania wanataka uwazi wa wagonjwa wangapi wanakufa na wangapi wanaumwa? Watanzania wanataka kujua pesa za misaada ziko wapi? Watanzania wanataka kujua vifaa vilivyonunuliwa viko wapi?
Watanzani labda ungewaambia kwanini umejificha? Watanzania wanataka kujua kwa nini madoctor wanakimbia wagonjwa ? Watanzania wana haki ya kujua yote hayo?
Kama tatizo hakuna tanganza kuanzia leo kazi zote ziendelee kama kawaida.
Fungua shule, Rudi Ikulu uchape kazi au jiuzulu watu wanakufa wanateseka hospitali bila huduma zozote wewe umejificha haileti picha nzuri.
Magufuli unatushangaza sana sisi ndugu zako nakuomba achia Ikulu kama hauwezi kusimama na watanzania kwenye majanga ya Kitaifa.
Huyo kijana mpuuzi sana. Alileta Uzi humu akiomba ugonjwa ufike Tanzania.Hata asingeomba lazima ingeingia tu, kama Mungu anatoa majibu kirahisi hivyo mda huu tunaoandika hapa JF corona isingekuwepo Tanzania.